nyaya za simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. maroon7

    Nyaya za TTCL Dar es Salaam ni uchafuzi wa mazingira. Mamlaka zifanye jambo

    Kweli sijui kama TTCL wanajielewa aisee. Unapopita maeneo mengi yenye mazingira mazuri na yaliyopendeza, unakutana na nyaya za TTCL zilizopita hovyohovyo, nyingine zikiwa zinaning'inia chini, huku nguzo zimepinda ovyo bila anayejali. NEMC wanapaswa kuwadhibiti hawa jamaa, maana inaonekana...
Back
Top Bottom