Kweli sijui kama TTCL wanajielewa aisee. Unapopita maeneo mengi yenye mazingira mazuri na yaliyopendeza, unakutana na nyaya za TTCL zilizopita hovyohovyo, nyingine zikiwa zinaning'inia chini, huku nguzo zimepinda ovyo bila anayejali. NEMC wanapaswa kuwadhibiti hawa jamaa, maana inaonekana...