nyaya za umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SAYVILLE

    Usalama wa nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence

    Nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence zinaonyesha ziko salama sana maana zinadili na njia kuu ya wizi au ujambazi kufanyika. Mara nyingi huduma hii inaambatana na uwepo wa cameras ili kuongeza zaidi ulinzi. Umewahi kusikia uvamizi umefanyika katika nyumba zenye...
  2. 5523

    Netanyahu amekanyaga nyaya za umeme?

    Kwa mujibu wa mtandao wa X hapo juzi Israel ilishambulio Syria kwenye base ya Russia na kusababisha madhara makubwa, Balozi wa russia nchini Israel amewataka raia wa Urusi wanaoishi Israel kuondoka, inatajwa kuwa 20% ya population ya Israel ni raia wa Urusi ambao wapo hapo kwa shughuli mbali...
  3. Roving Journalist

    Adeline Lyakurwa: Ndege alinasa kwenye nyaya za umeme, mafundi wamerekebisha, umeme umerejea Bariadi (Simiyu)

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa anatokea Wilaya ya Bariadi, Kijiji cha Mwasinasi kulalamika kuwa kuna kero ya kukatwa Umeme bila taarifa na shida hiyo imekuwa ikijirudia tangu wakati kuna Mgawo wa Umeme, ufafanuzi umetolewa na imeelezwa changamoto hiyo imetatuliwa...
  4. Yoda

    DOKEZO Serikali, ni sawa wamachinga kufanya biashara chini ya nyaya za umeme Karume?

    Kila nikipita hapa soko la Karume huwa nashangaa sana jinsi kundi kubwa la wamachinga wanavyofanya biashara zao chini ya nyaya kubwa za umeme bila hofu yoyote, sehemu nyingi ambapo naona kuna nyaya za umeme mkubwa raia huwa wanasogezwa mbali kabisa, kwa nini hapa Karume hali ni tofauti...
  5. Mlalamikaji daily

    KERO Kwa nini mafundi wa TANESCO mmeacha nyaya chini kama zinavyoonekana kwenye picha?

    Nimerudi kazini umeme hamna, Watoto wanasema mafundi wa TANESCO walikuja kufungua nyaya kwenye nyumba ya jirani (tunashea nguzo) kisha wakaziacha chini kama hivi kwenye picha. Wakasepa zao , nimepiga simu na kuwatumia TANESCO whatsap wakanipa kumbukumbu namba kisha baada ya dakika mbili...
  6. W

    KERO Wakazi wa Tegeta Azania (Kwenye Nyaya za Umeme wa Zanzibar) hatuna Maji kwa Muda Sasa, DAWASA shida ni nini?

    Kwa muda sasa katika maeneo ya Tegeta Azania (Kwenye Nyaya za Umeme wa Zanzibar) pamekuwepo na shida ya maji. DAWASA hamjatoa taarifa yoyote. Ingependeza sana kama mnaweza kutoa taarifa nini tatizo. Sasa taarifa hamtoi na huku Wananchi ambao ni wateja wenu tunateseka bila kujua tunapataje...
  7. B

    KERO Shinyanga DC: Siku ya tatu umeme haujarudishwa Didia, kwenye nyumba ya Yoyo baada ya gari la mnadani kukata nyaya za umeme

    Hii imetokea Kijiji Cha DIDIA wilaya ya SHINYANGA DC ambapo ni SIKU ya Tano tangu ilipotokea dharura ya kugongwa na gari nyaya za umeme zinazokatisha barabarani. Kutokana na CHANGAMOTO hiyo tangu tarehe 3/5/2024 hadi 7/5/2024 bado umeme haujaunganishwa KATIKA nyumba hiyo na zaidi wametoa...
Back
Top Bottom