Waandaaji wa tamasha la muziki nchini Uganda la 'Nyege Nyege' wanasema jaribio la bunge la kupiga marufuku tamasha hilo kwa sababu ya wasiwasi kwamba linapotosha maadili limeongeza mauzo ya tiketi.
Tamasha hilo karibu na kingo za Mto Nile limevutia takriban watu elfu kumi na mbili, wengi wao...