Kufuatia andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Nyegezi Jijini Mwanza kudaiwa kuwa ni duni, kisha kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) ijitafakari kwa kuwa inawakwamisha Wananchi wengi wa maeneo hayo, Mamlaka hiyo...
Stendi ya Nyegezi ni ya pili kwa ukubwa hapa Mwanza baada ya ile ya Nyamohongolo, wakati wa ujenzi wake ilielezwa kuwa zaidi ya Sh. Bilioni 15 zilitumika kwa mradi huo ikiwemo maegesho ya mabasi, magari madogo, vyumba maalumu za abiria na chumba cha Wanawake wanaohitaji kunyonyesha watoto...
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Nyabulogoya, Kata ya Nyegezi tuna changamoto ya kukosekana kwa chombo imara cha kuweka taka katika maeneo yetu licha ya kuwa tumekuwa tukitoa taarifa kwa Mamlaka zinazohusika juu ya hali hiyo.
Kifaa kilichopo kimechoka na hakifai, hata chenyewe ni sehemu ya takataka pia...
Wanajamvi salama...
Tatizo la traffic 🚦 lights zilizowekwa barabarani pale NYEGEZI Kona ni KERO sana na ipo siku kutatokea ajali kubwa sana maeneo Yale.
Sijajua evaluation na vigezo walivyotumia wanaojiita wataalamu kuweka mataa eneo lile kwani ndio kumekua na msongamano mkubwa wa magari, kila...
Habari,
Utaratibu wa Makondakta katika stend kuu ya Nyegezi si mzuri hata kidogo.
Makonda wanawavamia abiria hivyo kupelekea kupoteza baadhi ya vitu kama simu NK.
Asubuhi nimeshuhudia abiria kaibiwa simu katika virugu hizi.
Naona nisaidie kuripoti Hilo. Ni kero.
Anonymous (0411)
Thread
abiria
kusababisha
kuu
makondakta
mali
nyegezi
stendi
stendi kuu
upotevu
zao
Pongezi kwenu JWTZ kuwa na maeneo mengi makubwa hapa Tanzania.
Maeneo mengi yapo strategically kama mtayatumia kama fursa ya kukuza uchumi wa Jeshi letu la wananchi.
Pale Nyegezi kona katikati ya jiji la Mwanza mna kiwanja local ambacho huwa mashindano mbalimbali ya michezo huwa yanafanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.