Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua...
Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
Ndege ya kivita ya Marekani imedunguliwa katika Bahari Nyekundu kwenye tukio linaloonekana kuwa "ufyatuaji wa silaha uliotokea upande wao", jeshi la Marekani limesema.
Wafanyakazi wote wa Jeshi la Wanamaji la Marekani F/A-18 Hornet walitolewa nje wakiwa salama, huku mmoja akiuguza majeraha...
Bendera ya Chadema ina rangi nyekundu, kila mtu anajua maana ya nyekundu ni nini, lakini pia ukisoma Katiba ya Chadema unaona kabisa kuwa kwa namna ilivyoandikwa inaashiria kuwa wao ni watu wa vita tu, nchi hii imepata uhuru wake kwa amani kabisa bila kumwaga damu, nyie mna bendera yenye rangi...
"This is the Champions League. No matter the opponent, it's impossible to come back if one of your players is sent off. We are very disappointed. We felt we had control of the game before the red card," he began.
"I prefer to concede the goal or leave the forward with a one-on-one. He played...
Aisee!
Kwenda Coco mara moja tu napisha na chuma ya Italia, iko na custom number "SPYDER".
(Picha nimetumiwa tu baadae)!
Nakuja ambiwa ni kijana kutoka Familia ya kitajiri wauza rambaramba na unga wa ngano.
Ferrari 458, 4.5 V8 engine, wazee wa 5km/L.
Tutafute hela
Kule Afrika Kusini Yanga imecheza na Kaizer Chiefs kombe la TOYOTA na kulazimika kuvaa logo ya TOYOTA kifuani mwa jezi yenye rangi nyekundu. Binafsi nilidhani Yanga inakataa logo za wadhamini zenye rangi nyekundu kwa kuhofia kupata mikosi ya kufungwa kumbe bwana hakuna kitu hicho ni hofu tu...
Huyu ni beki aliyesajiliwa na club ya Yanga ambae usajili wake unaweza kutangazwa muda wowote.Jambo lililoshangaza wadau wengi hasa Sudan kusini anakotokea ni kipi kimewavutia Yanga kumsajili huku akiwa na rekodi ya kuwa na kadi nyingi nyekundu?
Rais Ruto na Rais Kagame, wameungana na Kwa sasa Tanzania imebakia kibogoyo sio bandari Wala makongamano ya kimataifa.
Kwa sasa mizigo ya eastern DRC inapitia Mombasa, Burundi nao wengi wameenda Mombasa, Rwanda kwa sasa anapitia mombasa.
Hao wote wanadai bora wakatembee umbali mrefu lakini...
Wanaukumbi.
Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza.
Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa niaba ya Israeli, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu...
VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi
Sheria za mpira zinasema mtu wa mwisho akifanya rafu ni kadi nyekundu. ila kwa mamelodi hata VAR haijajisumbua kucheki...
Wakuu nimefatilia na kuona mageti ya uwanja wa Taifa kuwa na rangi nyekundu nawaza kwa utulivu, hii sio kwamba TFF na wizara kuongozwa na Wana Simba imechangia hali hiyo?
Kama MZALENDO wa nchi nataka kuona yale mageti yanapewa rangi neutral ili kuepusha mgongano
USHINDI KWA YANGA LEO LAZIMA.
Salaam, shalom,
Mheshimiwa Mnyika amewahi kuhojiwa na kusema kuwa, Mh Mbowe ndiye aliyeshauri RANGI nyekundu iongezwe katika RANGI za Bendera ya CHADEMA, kwamba RANGI nyekundu inaashiria Upendo.
Mara kadhaa, viongozi wa CHADEMA wamewahi kunukuliwa wakidai, RANGI nyekundu katika bendera Yao, ni...
ufafanuzi tafadhali
Leo hii Metacha anaanzishwa kwenye kikosi dhidi ya Namungo licha ya kwamba alipewa redcard mechi ya prisons, huku sio kukiuka sheria za mpira, au kulikuwa na msamaha?
Refareee Jesús Gil Manzano amemuonesha kadi nyekundu Mchezaji wa Real Madrid Jude Bellingham kwenye mechi iliyokuwa inachezwa kati ya Real Madrid na Valencia.
Mzozo Huo ulitokea baada ya Refa kumaliza Mchezo wakati mpira Ulikuwa Hewani na baada ya mpira kutua ukatua Nyavuni na Refa kukataa Goli...
Marekani na Uingereza zimefanya mashambulio mfululizo ya anga dhidi ya maeneo kadhaa yaliyolengwa ya kundi la Houthi la nchini Yemen hivi karibuni, lakini kundi hilo linadai kuwa, halijayumbishwa na mashambulio hayo na kuahidi kulipiza kisasi.
Wachambuzi wanasema, mashambulio hayo ya kijeshi...
Wanakumbi.
Waasi wa Houthi wa Yemen walishambulia meli nne za kivita za Marekani katika Bahari Nyekundu katika muda wa saa 24 zilizopita
Ndege ya Jeshi la Wanamaji la Uingereza HMS Diamond iliripotiwa kuharibiwa vibaya. Ingawa Uingereza inakanusha uharibifu wowote, meli iliondolewa kutoka eneo...
Wanaukumbi.
Vikosi viwili vya Jeshi la Wanamaji la Marekani ambavyo vilitumwa kwenye Bahari Nyekundu ili kuwazuia waasi wa Houthi wanaoshirikiana na Iran sasa vimeondolewa kwenye bahari ya Mediterania, ingawa mashambulizi ya vikosi vya Houthi yanaendelea bila kusitishwa.
Siku ya Alhamisi, USS...
Kofia nyekundu ya Baba Krismasi Santa Claus'
Kama viumbe visivyokuwa binaadamu aliens watafika duniani katika wakati wa Krismasi, bila ya shaka wataamini Krismasi kuwa ni sherehe ya kufurahikia kuzaliwa kwa Baba Krismasi Santa. Majina ya ‘Santa Claus’, hayamo popote ndani ya Biblia.
Hata...
Wanaukumbi..
Baadhi ya nchi hazijathibitisha ushiriki wao, hata hivyo, huku zingine zimesema juhudi zao za kusaidia kulinda trafiki ya kibiashara ya Bahari Nyekundu zitakuwa kama sehemu ya makubaliano yaliyopo ya jeshi la maji badala ya operesheni mpya inayoongozwa na Marekani..
Ukosefu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.