nyeusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nina tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyenye rangi nyeusi

    Asamaleko wadau Mimi nina hii tabia ya kupenda vitu vikubwa na vyeusi. Pengine kama inakuwa na sababu fulani naweza kupata jibu hapa. Tangu enzi nanunuliwa mavazi nilikuwa napenda sana nguo nyeusi, Viatu ndiyo kabisa.. Lakini pia tangu nimeanza kuwa mimi Mfumo wa maisha yangu haujawahi...
  2. Je ni kweli maisha ya Ulaya na Marekani ni magumu au ni mwendelezo wa ngozi nyeusi kukatishana tamaa?

    Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo. Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
  3. M

    Harusi Nyeusi :Support needed

    Wakuu, Naomba tu support kazi ya binti yetu ametoa single inaitwa “Harusi Nyeusi”. Please share and repost Tik tok https://vt.tiktok.com/ZS6hUK76M/ Instagram https://www.instagram.com/reel/DEHJ4Jgvij8/?igsh=MTBhYjNsYmdvN3dpNQ== Audio nime attach hapo chini. Asanteni sana watu wangu.
  4. M

    Issue ya Diamond huko Kenya nimegundua Kenya baadhi ya watu wana roho nyeusi

    Miaka yote nimekuwa nikiwafuatilia hawa majirani zetu na sikuwahi kuona with clean heart. Jamaa wamekaa sana Chuki mioyoni na Unafiki.
  5. Wazazi wajaa Shule ya Mburahati kuwachukua Watoto, hofu ya kutekwa baada ya Noah nyeusi kuonekana

    Baadhi ya Wazazi na Walezi wenye Watoto katika Shule Msingi Mburahati wamefika shuleni hapo mchana wa leo Julai 22, 2024 kwa lengo la kuwafuata Watoto wao kutokana na hofu iliyotanda ikidaiwa kuna Watu wanania ya kuwateka Inadaiwa kulitokea gari ain ya Noah nyeusi ambayo haina namba iliyokuwa...
  6. Unataka kutoa michirizi nyeusi kwenye mapaja nna sehemu zinginezo fanya hivii unishukuru

    chukua ndizi 2 Penda pondaa Chukua dawa ya mswaki unayoiua colgate etc vijiji 2 chukua sukarii vijikooo 2 changanyaaaaaaaaaaaa paka asbh na jion nipe mrejesho
  7. Mo Dewji asema wameanzisha Kampeni ya kukusanya chupa za rangi nyeusi, wameshakusanya tani 21

    Video kutoka kwa Mohamed Dewji "MO" Mwezi uliopita, tulizindua kampeni ya kuongeza ukusanyaji wa chupa za rangi. Tulikusanya tani 21 za chupa nyeusi kwa ajili ya kuchakata! MeTL ni fahari kuwa mwanachama wa Petpro, shirika la wajibu wa ziada za wazalishaji wa chupa za PET kwa ajili ya...
  8. Kwanini watu weusi tunathamini sana wazungu kuliko tunavyothaminiana?

    Hiii! Kuna siku nilipanda bajaji from town kwenda home. Kutoka kituo nilichopandia abiria tulipanda ile Bajaj tulikuwa watu mimi na mama mmoja akiwa na mtoto wake mdogo range kama 2-3 years. Kwa uelekeo tulokuwa tunaenda na jinsi nilivyomsoma yule mama ni kama alikuwa anampeleka chalii hosii...
  9. Kwa sasa meli zinazopita red sea ni zile zinazotoka bahari nyeusi kwa warusi na zinazoelekea Iran pekee

    Njia mashuhuri ya meli za kibiashara ya Suez Canal kutokea red sea ni kama kwamba imefungwa kutokana na mashambulio ya Houth. Meli peke zinazopita bila wasi wasi ni zile zinazotoka ama kuelekea Iran.Nyengine ni zile zinazotoka ama kwenda bahari nyeusi ambako ndiko ziliko bandari kubwa za...
  10. Nyerere alikuwa mkoloni mwenye ngozi nyeusi

    Kupitia matendo na fikra zake Mwalimu Nyerere alikuwa mkoloni wa waziwazi mwenye ngozi nyeusi. Sio kweli kuwa Nyerere alichukizwa na ukoloni ila ukweli ni kwamba Nyerere ukoloni aliupenda sana ila alichukizwa na watu weupe kuwa tendea watu weusi. Nyerere ukoloni aliupenda sana na ndiyo maana...
  11. Ukitaka kujua ngozi nyeusi ni laana, mfuatilie refarii anayechezesha Taifa stars na Moroco

    Kidogo nivunje tv yangu ili nimtandike mangumi refa anayechezesha Anatoa kadi zusizostahili, anaacha makosa ya warabu kwa kuogopa rangi yao Anaruhusu goli la kuotea kwa kuogopa rangi Ngozi nyeusi ni laana kuu duniani Tungekuwa tunachezeshwa na refa ngozi nyeupe, isingekuwa hivi kama...
  12. Rambo nyeusi zimetoweka zimekuja rambo za blue 😌

    Wana JF , Ninaandika kwa wino wa masikitiko kuhusu hii mifuko ya nylon (plastick) kwa sasa inajulikana kama vifungashio . Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC)wamefeli kabisa kulinda mazingira kwa kuruhusu vifuko hivyo kuendelea kutumika kwa kiwango kile kile cha rambo nyeusi "vifuko laini"...
  13. Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu

  14. Ila jamani crown nyeusi ni bonge la gari, inavutia kweli

    CLASS AND ELEGANCE
  15. Kuna watu wana tabia nyeusi, akiwa jirani yako unatamani kuhama umpishe

    Kuna mtu kahamia jirani nyumba ya pili, ana wiki ya 3 tu tangu ahamie ila nishajutia ujio wake kwa tabia zake, sijui katoka wapi huyu mtu jamani natamani hata kuhama nimpishe maana kumhamisha siwezi. Ana tabia nyeusi sana, hata sijui niziitaje maana anaongea lugha ya matusi sijapa kuona huyu...
  16. Watu wenye fizi za rangi nyeusi wana roho mbaya

    Watu wa zamani walikuwa na uwezo wa kuusoma miwili wa mwanadamu kama walivyo weza kusoma hali ya hewa ya nchi na tabia nchi kwa ujumla. Mfano (hii nina uhakika mayo kwa asilimia mia kwa sababu nimei-experience) wanawake wanaotoka jasho kwenye pua huwa wana mapenzi na upendo wa ukweli ni...
  17. Ni wapi naweza kununua Dye ya kurudisha (refurbish) rangi za nguo?

    Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets. Ni wapi naweza kuipata?
  18. W

    Kwanini kila mtu anaikimbia rangi nyeusi? Kuna siri gani?

    Leo nimesikia kuwa na Wamisri wamegomea movie inayomzungumzia Cleopatra kama mwanamke mweusi. Kuna mifano mingi tu ya kusema hapa ni jinsi gani weusi unachukiwa, tunachukiwa. Tatizo nini haswa? Kuna siri gani? Ni huu huu ukosefu wetu wa maarifa au kuna jingine?
  19. Simba SC izuieni upesi hiyo Alphard nyeusi inayokuja Kambini na Mdau wa Simba SC ina Watu wabaya Kwetu

    Uongozi wa Simba SC pitieni sana hapa Jamiiforums na muwe mnanisikiliza mno Mimi GENTAMYCINE sawa? Nawapambania kuliko hata hao Wanafiki baadhi walioko Kambini kwa sasa. Haya GENTAMYCINE naamuru haraka sana hiyo Gari aina ya Alphard Nyeusi iishie nje na isiingie Kambini ina Mtu Kirusi na...
  20. Mungu tupe akili sana sana sisi ngozi nyeusi

    Habari JF Wanadamu ni wanafiki sana tena pengine nahisi wengi tunafanya mambo hayo ya kipumbavu kwa mihemko na kufwata mkumbo kibaya zaidi kwa mfano una darasa lina wanafunzi 40 wachukue hao wanafunzi uwagawe katika makundi mawili kundi A na kundi B bila kujali dini zao wala kabila zao alafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…