Nyimbo nyingi za CCM zinasisimua sana, zinaondoa uchovu na msongo wa mawazo ukiziskiliza vizuri, na kwakweli ukiziskiliza kwa makini unapata pumzi yenye matumaini na mwangaza mpya kabisa wa kusonga mbele ikiwa umekata tamaa.
Mathalani unapigwa ule wimbo wa waacheni waandamane na ujinga wao, ccm...
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Jesca Kishoa amefika katika Kata ya Nkalakala Wilayani Mkalama Mkoani Singida na kufanya mkutano wa hadhara na wananchi pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala...
Huo ndo ukweli wakuu au mnasemaje?
Ukiondoa mambo ya itikadi ya vyama huyu mwanamume alikuwa anaimba aisee acha kabisa.
Skiza kitu hiki hapa
Sasa kumekucha
👇👇
https://youtu.be/MAP-WTEdm4g?si=6iTQeI7gRat83lYd
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.