Habari zenu wanajf?
Naomba leo tushee nyimbo zetu pendwa tunazozisikiliza kwenye playlists zetu when we feel giving up. (Kukata tamaa)
Binafsi, "Lengend" by Chronixx ndo nyimbo ambayo napenda kusikiliza sana. Kwa sababu;
- Content , instruments na melody hunifanya nijione mtu mwingine kabisa...