Ni Kama utamaduni vile katika vilabu vya pombe za kienyeji utakuta nyimbo nyingi Kama siyo zote huwa Ni zile za ki Kongo Tena za zamani Sana zile za kina Pepe kale, Kanda bongoman n.k hii Ina uhusiano gani na vilabu vya pombe za kienyeji?
Maana karibu maeneo yote yenye hivyo vilabu nyimbo Ni...
Kuna Maneno matamu sana kwenye huu wimbo.
Ni wimbo wa mapenzi unaomsifia Mwanamke Mzuri mwenyenmaisha mazuri sana kwao. Ktk Verse ya Mwimbaji anasema hivi.
".......Kwao kila kitu stock, Beef Cow Kitimoto Pork......"
Starehe - Ferooz & Prof J
“Starehe mnazipenda ila mwisho wake mbaya, wengi wameteketea kwa kuendekeza umalay**a , vipimo vinaonyesha ni kweli umeathirika, I am very sorry kupoteza nguvu ya Taifa”
Asante min -me kwa kunikumbusha hii ngoma jana.
Oh na na naaaaa! Eyaaaah INACHOMA
1.
Nimeajiriwa kwenye Ajira niliyojiajiriii,
Na ninasifiwa utendaji Wangu wa kazi ni nzuri,
Navumilia huenda nitapata kivuli,
Nitapata kivuli imeshakata miaka miwiliii,
Ndimu na ugali,maisha Makali,elimu iko mbaliii,
Lile jasho la halali,mpaka kabaliiii,
Bosi...
Ilikuwa nikizisikiliza zamani mwenye redio free Afrika (RFA)
Au redio Tanzania daresalaam (RTD)
Ni nyimbo flani hivi msanii anaimba ila ni kama anaongea story flani hivi za masikitiko.
Mara anataja SHAMBA mara sijui TOKA EE
Ni aina fulani hivi za nyimbo nikama msanii analalamika hivi.
Yaani...
https://youtu.be/lAXIQChY8ek?si=0xWTkU2Pigyeqezs
Unakula nini ili nami nifurahi
https://youtu.be/8-Sjs6RBp1c?si=4_5IpGl_vsk7Dh9P
Nipigie
https://youtu.be/kUf3HL9SZa0?si=hWIYUzA71H2dfkvq
Kwa ajili yako
https://youtu.be/8eyAeqkV2gg?si=qf6VNcnWsnBkLhqz
Pipi je na wewe ulipenda zipi??
Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo .
Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
eid mubarak!!
Hii kitu nimeiona kwenye miji kadhaa niliyowahi kuishi hapa nchini.....
Ukitembelea sehemu zinazopatikana pombe za kienyeji (gongo, wanzuki, chimpumu, mnazi n.k) basi burudani yao kubwa ni hz nyimbo za zamani.....
Ddc mlimani park
Sikinde
Msondo ngoma n.k
Hizi ni nyimbo zenye...
Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD.
Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata...
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.