Nyota wa Ligi ya Kikapu ya NBA, LeBron James amefanikiwa kuwa mchezaji anayongoza kwa kufunga pointi nyingi katika ligi hiyo baada ya kufikisha zaidi ya pointi 39,000.
LeBron (38) anayeichezea Los Angeles Lakers amefikisha rekodi hiyo akimpita nguli mwingine wa Lakers, Kareem Abdul-Jabbar...