Habari ndugu wananchi,
Kuna uzushi uliozoeleka hapa Tanzania kuwa "kinachosababisa NYOKA wa kijani kuanguka chini kutoka juu ya mti ambao chini yake Kuna watu wanapiga stori NI umbea, kwamba alikuwa akisikiliza stori zao kwa muda mrefu kwa kujificha hivyo zimemnogea na ameshindwa kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.