nyongeza ya mishahara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Afadhali Rais Samia kaukwepa mtego wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Hongera mama!

    Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei. Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri. Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei 1. Upungufu wa mafuta 2. Tangazo la...
  2. S

    Watumishi wa umma, leo hamtangaziwi nyongeza, bali kulipwa sehemu ya madeni yenu ya nyongeza

    Ik8fika July mwaka huu,tutakuwa tunaingia mwaka wa sita tangu watumishi wa umma waongezewe kwa mara ya mwisho mishahara pamoja na nyongeza ya mishahara ya Kia mwaka mpya wa fedha (annual increament). Annual increament hii ambayo iko kisheria, kwa miaka hii sita kwa mtumishi mwenye mshahara wa...
  3. Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

    Kutoka jijini Mwanza tunawaletea taarifa za moja kwa moja, maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi duniani,ambayo kitaifa yanafanyika hapa. Mgeni rasmi anatarajiwa kua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan, ambapo atapokea maandamano ya wafanyakazi...
  4. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Tunaboresha maslahi ya Wafanyakazi, sio lazima tuseme hadharani

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imejifunza kuwa inapotangaza hadharani kuhusu kupandishwa mishahara, kumekuwa kunatengeneza gharama kubwa na kusababisha ugumu wa maisha ya wengine. Ameeleza hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Konde (ACT-Wazalendo) Khatib Haji aliyehoji ni lini...
  5. Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

    Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine. Kwa sasa spika anamkaribisha Rais Magufuli...
  6. CCM imefanikiwa kutugawa; tukagawanyika

    Hili genge liitwalo ccm limefanikiwa kutugawa na sasa tumegawanyika vipande vipande. Kuna ambao wanaona nguo, tshirts, kofia, khanga, lift, chakula na fadhila nyingine ni muhimu sana kwao kwa sasa kuliko hata ahadi na ilani ya uchaguzi. Kuna ambao mikopo midogo midogo, bendera na mabango ni...
  7. Bajeti 2020/21 Watumishi wa Umma mwaka wa 5 hakuna nyongeza ya mishahara wala punguzo la kodi

    Awamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa. Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita...
  8. N

    Ufanisi wa wafanyakazi Serikalini na nyongeza ya mishahara yao

    Rais Magufuli alipoingia madarakani kitu cha kwanza alichojitahidi kurekebisha ni jinsi wafanyakazi wa serikali walivyokuwa hawawajibiki kutimiza majukumu yao; alifanya zoezi la ziara za kustukiza maofisini na kuwaadhibu wale waliokutwa na makosa. Zoezi la ziara za kushstukiza pamoja na zoezi...
  9. Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

    Habarini Wadau, Ninaomba kuuliza lakini pia kupatiwa msaada katika jambo hili. Mwaka Jana mwezi wa 5, watumishi wengi wenye sifa walipandishwa madaraja. Lakini cha kushangaza katika mabadiliko ya mishahara ni kama kuna ubaguzi kwa watumishi. Kwa Mkoa wa Kilimanjaro kuna ambao wamebadilishiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…