nyongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri wa Fedha apendekeza nyongeza ya Tsh. bilioni 945.7 kwenye bajeti ya serikali ya 2024/25. Pesa za Kampeni zinatafutwa?

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024. Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
  2. S

    Ridhiwani Kikwete anasema wastaafu wanapodai nyongeza ya kikokotoo, kukubaliwa ni hisani ya Rais Samia na sio haki yao? Chadema toeni msimamo!

    Nimeshangaa na kutatizwa sana na kauli ya Ridhiwani Kikwete akijibu swali la Dr. Christina Mnzava pale Bungeni, alipoulizwa kuhusu nyongeza za marekebisho ya kikokotoo kwa wastaafu, na hata kurekebishwa kwa kikokotoo kutoka fungu linalotolewa kwa sasa. Hebu angalia mwenyewe hapa chini...
  3. S

    Kisasi kimelipwa:Kuna yule mchezaji alinawa mpira dakika za nyongeza na kuwapa Simba ushindi

    Sikumbuki ilikuwa ni mechi baina ya Simba na timu ipi, ila nachokumbuka ni katika mechi ya msimu huu ambapo kuna mchezaji alinawa mpira kizembe dakika za jioni na kuwapa Simba penati iliyowafanya watoke na alama 3 na kuzua mjadala. Kama sio kuunawa mpira, basi alisababisha penati ya kizembe...
  4. R

    Dhihaka: Serikali yatoa Nyongeza ya 2% ya pensheni kwa wastaafu

    Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini! Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000 1,000,000 nyongeza ni 20,000 Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini
  5. Wafanyakazi na nyongeza za mishahara!

    CCM juu!🙏
  6. M

    Gamondi ameondolewa kutokana na sababu muhimu, matokeo ya uwanjani ilikuwa ni nyongeza tu ya kumnyoa!

    Kuna wengi wasiojua kiini kikuu kilichofanya gamond aondolewe na kufungashiwa virago, wengi wao wanadhani sababu kuu ni kufungwa na Azam na Tabora united, icho kitu akikuwa kipaumbele kwenye tathmini ya viongozi kwakuwa Mpira unayo matokeo matatu,,lakini kwa mujibu wa source ya ndani kabisa...
  7. kila kona manyanyaso, hata haki ya watumishi kupata nyongeza ya mwaka ishakuwa manyanyaso.

    Utawala wa mama samia umeonekana kuwa na niya nzuri lakini kuna mambo mengi inaonesha imedhamiria kunyanyasa watu.Manyanyaso ni kama yafuatayo; 1.Demokrasia ya watu kuandamana inaminywa kisa tuh haitaki kuona watu wakidai haki zao. 2.Serikali imekuja na mifumo mbalimbali kama pepmis na mengine...
  8. Je, ni lini wanafunzi wa vyuo wataacha kujamiiana kwenye dabo deka?

    Tupo katika kipindi ambacho wahitimu wa kidato cha sita wanatarajia kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Swali ni kwamba wanachuo watarajiwa wameandaliwa mazingira mazuri ya malazi? Ikumbukwe kule vyuoni Kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakifanya mapenzi kiholela katika vitanda vya...
  9. Nyongeza ya Mshahara (Annual Increments)

    Kuna tetesi kwamba Nyongeza ya Mshahara (Annual Increments), itafanyika kwa kila mlengwa kwa kuzingatia mwezi wa ajira ya mwajiriwa....Kwa mfano kama uliajiriwa mwezi wa tano, basi Nyongeza hiyo utahusika nayo mwezi husika na sio kwa kuzingatia mwaka wa fedha wa serikali,kama ilivyozoeleka. -Hii...
  10. Serikali imesitisha nyongeza ya mishahara ya kila mwaka (annual incriment) na tucta ipo kimya tuu

    Mwaka jana mama alitangaza kurudisha ile nyongeza ya kawaida ya kila mwaka baada ya kusitishwa na Raisi Magufuli, Pamoja na kupandisha vyeo wafanyakazi ambapo walikuwa wamesitishiwa .. Tumeona wafanyakazi wakipanda vyeo kwa mujibu wa sheria japo kuna miaka iliyodhulumiwa vyeo Yaani mwaka...
  11. M

    Mwaka huu 2024 hakuna nyongeza ya Mshahara?

    Juzi mishahara ya Watumishi wa Umma ilitoka ikiwa haina nyongeza hata chembe. Je, ina maana mwaka huu pia hakuna pekeji' mbona kazi!?
  12. Tuliambiwa Mama atasema Jambo Nyongeza ya Mishahara, Hadi Leo Bado Tu hilo Jambo Jamani!

    Katika Mei Mosi ya mwaka huu 2024, Makamu wa Raisi wakati akihutubia akimwakilisha Raisi alisema suala la nyongeza ya mshahara tusubirie Jambo kutoka kwa Raisi mwenyewe. Tunavyofahamu nyongeza ya mshahara hubadilika katika mshahara wa Mwezi July, sasa mpka tarehe ya leo 14 July hakuna tamko...
  13. D

    Bajeti ya 2024 - Nyongeza ya kima cha chini cha Pensheni ni takwa muhimu kwa wastaafu Tanzania

    Tangu July, 2015 wakati wa utawala wa Rais Kikwete kima cha chini cha Pensheni za wastaafu hakijawahi kuongezwa kutoka Tsh. 100,000/=. Tokea 2023 Waziri Mwigulu amekuwa akiongelea zoezi la mapitio ya mifuko ya pensheni na kuwapa matumaini kwamba jambo hili linafanyiwa kazi lkn tumeona juzi...
  14. Nigeria: Wafanyakazi waanza Mgomo wa Kitaifa kudai nyongeza ya Kima cha Chini cha Mshahara kutoka Tsh. 58,400 hadi Tsh. 962,865

    NIGERIA: Wafanyakazi wa Taasisi za Umma na Binafsi wameanza Mgomo wa Kitaifa usio na kikomo nchini humo wakidai maboresho ya Maslahi ya Kazi ikiwemo nyongeza ya Mishahara Mgomo huo unfautia kukosekana kwa muafaka wa Mazungumzo kati ya Chama cha Wafanyakazi (NLC), Umoja wa Wafanyakazi (TUC) na...
  15. K

    Nyongeza ya mshahara bora watumish wote wahamie Zanzibar

    Kwa hiki kinachoendelea pole sana watumishi wa umma, haiwezekani mtumishi no. 1 akashindwa kufika kwenye siku ya WafanyaKazi ambayo yeye ni mwenyekiti na ni mwajiri wa watumisho yote. Halafu Cha ajabu wawakilishi wake wanatoa majibu mepesi kwenye maswali yanayohitaji majibu sahihi. Mbona Mh...
  16. Z

    Biashara gani naweza kufanya nyongeza kwenye stationery yangu

    Habari, Naomba msaada jamani nina stationery lakin katika kipindi hiki cha umeme kata rudi napitia wakati mgumu sana.. Naomba usbauri wenu jamani naweza kuongeza biashara gani isiyotumia umeme nikajiongezea kipato? Pia ni sehem ipi online ambapo naweza kujifunza graphic design kwa undani??
  17. Waziri wa Ulinzi wa Liberia ajiuzulu baada ya Wake wa Wanajeshi kuandamana kushinikiza nyongeza ya Posho

    #LIBERIA: Waziri wa Ulinzi, Prince Charles Johnson III amejiuzulu nafasi yake baada ya Wake wa Maafisa wa Jeshi kuandamana kwa malalamiko ya Waume zao kutoongezewa Mshahara huku wakiishi maisha duni katika kambi za Kijeshi. Wanawake hao waliandamana na kuweka Vizuizi kwenye Barabara zinazoingia...
  18. Serikali yafanya ubaguzi kwenye nyongeza ya mshahara

    Licha ya serikali kujigamba kuongeza mshahara "annual increment" kuna baadhi ya makundi ya watumishi wa umma hususani walimu hawajanufaika na ongezeko Hilo. Miongoni mwa makundi yaliyofanyowa ubaguzi ni pamoja na, 1. Walimu waliopandishwa vyeo tarehe 1/5/2023 kwa madai kwamba wanaendelea...
  19. TUCTA: Nyongeza ya Mshahara itaanza kulipwa Mwezi August

    Barua ndio hii ngoja tusubiri! Ingawa naona dalili za mkutano kuahirishwa au ukiwepo hautakuwa na tija. Tunajua kabisa TUCTA ndio Serikali yenyewe. ====== SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA (TUCTA) TARIFA KWA WAFANYAKAZI KUHUSU AHADI YA NYONGEZA YA MSHAHARA YA KILA MWAKA (ANNUAL...
  20. Mshahara umetoka hakuna incriment hakuna nyongeza!

    Ndo hivyo yaani kama walivyosema tutawaongeza kimya kimya tusubiri🚬🚬
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…