Uamuzi huo unafuatia pendekezo lililowasilishwa na Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) iliyotaka kuongeza Mishahara kwa Maafisa wakuu Serikalini kuanzia Mwezi Julai 2023.
Ruto amesema suala hilo haliwezi kutekelezwa wakati kuna pengo kubwa kati ya Wanaolipwa kiasi kidogo na wenye mapato ya...
Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024
Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH.
Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.
Sasa tujie hizi
Naomba kuwasilisha
Mbunge Ester Bulaya amesema “Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaeleza mkandarasi akichelewa kukamilisha mradi anatakiwa kutozwa tozo, mradi ulitakiw akukamilika 2022 na taarifa zilizopi hautakamilika mwaka huu.
Amesema hayo Bungeni na kuhoji kwanini TANESCO hawajamtoza...
Akizungumza kutoka katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi), #RaisSamia amesema ongezeko la 23% la Mshahara lililofanyika mwaka 2022 halikuwagusa Wafanyakazi wote akiwemo yeye.
Amesema lengo la nyongeza hiyo ilikuwa kuwainua Wafanyakazi wa Kima cha Chini huku ikiongeza Posho kwa...
Rais Samia akiwa katika Sherehe za Siku ya Wafanyakazi mkoani Morogoro amebainisha kuwa nyongeza za mishahara za mwaka ambazo kwa muda mrefu zilikuwa zimesitishwa, zimerudishwa mwaka huu
Amesema “Wafanyakazi wote mwaka huu, mbali na Kupanda Madaraja, na mambo mengine, kuna nyongeza za mishahara...
gerson msigwa
mishahara
muda mrefu
mwaka
nyongezanyongeza ya mishahara
rais
rais samia
samia
samia hassan suluhu
tanzania
utaratibu
wafanyakazi
zuhura yunus
Kama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi.
Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao...
Ebhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi
3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa...
Habari zenu wanaJF
Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na baada ya uchunguzi wanaona ni kweli na ndio maana wanaongeza majina.
Swali langu ni kwanini wa-set...
Takriban watu milioni 1.1 waliandamana katika mitaa ya Paris na miji mingine ya Ufaransa huku kukiwa na mgomo wa kitaifa dhidi ya mipango ya kuongeza umri wa kustaafu - lakini Rais Emmanuel Macron alisisitiza kwamba ataendelea na pendekezo la mageuzi ya pensheni.
Wakiwa wametiwa moyo na...
Kwa sasa imekuwa kama utaratibu. Kwa mfano ulio hai kuna baadhi ya waombaji wa ajira MDA's na LGA's walipewa taarifa ya kuitwa kwenye usajili tarehe 07/01/2023 na wengine wakaitwa kama majina ya nyongeza siku tano baadaye yaani tarehe 12/01/2023. Na wote hao watafanya usaili tarehe 15/01/2023...
Habari ndio hiyo. Hili jambo watu wa benki kitengo cha mikopo wanalijua, watumishi wa hazina wanalijua. Kazi iendelee.
Hizi ni tetesi nilizozipata kwa mmoja wa wanufaika wa 90%.
Katika kuhakikisha wanafunzi wa elimu ya juu wanatimiza ndoto zao Serikali ya Rais Samia Suluhu imekuja na Suluhu.
Rais Samia Suluhu ameidhinisha nyongeza ya TZS bilioni 84 kwa wanafunzi 42,000 waliokuwa na changamoto ya mikopo ya elimu ya juu, nchi nzima. Wanafunzi waliokusudiwa awali walikuwa...
Wandugu,
Wakati serikaki ikiongeza mshahara kwa shilingi 10,000.00 serikali hyo mshahara ukifika benk baada ya kulipa kodi ya PAYE, huko benki serikali inatoza kodi tena.
Huu ni uonevu ulopitiliza, ni unyonyaji kwa wafanyakazi na ushamba kwa viongozi walobuni hiyo tozo bila kutafakari.
Mtu...
Hivi kweli maisha ya huko Bongo yalivyo tait unamuongezea mshahara mtumishi Tsh 8567 then bank wanakula makato ya Tsh 9500 kweli jamani, mtafika mbinguni mmechoka sana ndugu zangu
Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu.
===
Aliyoyazungumza waziri Mkuu.
Rais Samia Suluhu Hassan tangu ameingia madarakani amehakikisha watumishi wanapata amani mahali...
Hakika hii sasa ni kero ambayo inaonesha Serikali ya CCM imeshindwa KABISA kusimamia kampuni za biashara hususani za Simu na yanafanya chochote watakacho na hakuna cha kuwafanya.
Nimeshtuka asubuhi hii kukuta wameongeza tena gharama za vifurishi na kwa speed hii hadi kufikia December...