nyota yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Ngono salama sio kuvaa condom tu. Kumbuka condom itaulinda mwili wako lakini kamwe haiwezi kuilinda roho yako dhidi ya roho na nyota

    Ngono salama sio kuvaa condom tu. Kumbuka condom itaulinda mwili wako lakini kamwe haiwezi kuilinda roho yako dhidi ya roho na nyota mnazobadilishana mnapofanya ngono. Kabla hujafanya ngono ni muhimu ukumbuke kuwa kila tendo la ngono mnabadilishana roho na nyota zenu. Kama sio muhimu usiuze au...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Kipimo rahisi cha nyota yako

    Kila mwanadamu ana nyota , ndani yake kuna talanta, na hiyo talanta ndiyo Mungu hutaka mtu aitumie ili asiwe maskini na mhitaji. Lakini kama ilivyo ada duniani kuna wachawi ambao huchafua nyota za watu au kuibiwa. Ukiibiwa nyota utateseka mpaka kifo chako. Hakuna litakalostawi mikononi mwako...
  3. Abtali mwerevu

    Kipimo Kujua Kama Nyota yako Inang'Ara, Imefifia au Imeporwa

    Watu wengi husafisha nyota ilhali nyota zao zinang’ara. Wengine hudhani nyota zao zimeporwa kumbe wanazo ila zimefifia tu. Kabla hujasafisha au kurejesha nyota, kwanza fanya kipimo. Faida za nyota yako kung'ara ni: - Kuondoa mikosi. - Kuongeza mvuto katika biashara na kazi. - Kuongeza mvuto...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Kijana maskini unataka nyota yako ing'ae kisiasa na wakubwa wakuchague. Hivi ndivyo utakavyofanya

    KIJANA MASKINI UNATAKA NYOTA YAKO ING'AE KISIASA NA WAKUBWA WAKUCHAGUE. HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna vijana maelfu kwa maelfu wapo kwenye siasa miaka na Miaka lakini hawatambuliki, hawajulikani, hawaonekani na zaidi wanaishia kuwa vibaraka vya wakubwa...
  5. Lanlady

    Kwenye safari ya mafanikio ukishajua nyota yako inaandamwa jitahidi sana kudhibiti mhemko (emotion)

    Huu ndio hasa ushauri wangu kwa kaka yangu mkuu wa mkoa wa Arusha. Inaonesha wazi nyota yake ya mafanikio ni kali sana na inaandamwa na kila mwenye nia njema na nia mbaya. Kwa wasomaji wa biblia wataungana nami kwa kurejea matukio mbalimbali ya kuandamwa kwa watu wenye nyota za mafanikio...
  6. Crocodiletooth

    Nyota yako imeibwa lakini ulitakiwa utembelee VX

    Huwa namkubali sana Daniel Mgogo. ********** “Mna akili nyingi. Wanawakamataje? Unaambia ulete KSh 100k tuirudishe nyota yako ambayo ulikuwa hujaiona,” Tanzanian preacher Daniel Mgogo says, insists some preachers dupe Christians who don’t interrogate their statements. “Unarudisha nyota hewa...
  7. Mohammed wa 5

    Baleke ukitaka nyota yako ing'ae isaidie timu yako kupata ushindi mechi ya dabi

    Mchezaji Bora wa mwezi Jean Baleke super finisher ameonesha kiwango kikubwa kwenye mechi za karibuni,Ile acrobatics ya Jana waooh what a player wazungu wanasema. Baleke ukitaka nyota yako ing'ae focus na mechi ya dabi sababu ni mechi kubwa iliobeba hisia za mashabiki wengi hapa Tanzania na nje...
  8. GENTAMYCINE

    Ukiona Mfanyabiashara yeyote anakufanyia hivi jua anaitaka Nyota yako Kali ili imsaidie Kibiashara

    Kuna Dada kila GENTAMYCINE nikibahatisha kuwa na Hela au Nikiokota Pesa njiani huwa napenda Kununua Vyuku ( Nyama ya Kuku ) wa Kukaanga Kwake. Kilichonishangaza na Kunishtua kila nikienda Kununua huwa ananiambia kuwa nikianza Mimi Kununua Kuku Kwake huwa zinatoka upesi na Wateja humiminika...
  9. Rakims

    Jinsi ya kung'arisha nyota yako

    Ikiwa ni mapenzi yako katika kujaribu kwenda kung'arisha au kutakasa nyota yako kwa mnajimu yoyote yule basi kuna mambo ni muhimu na unatakiwa kuyazingatia unapokwenda huko ili uweze kupata hitaji lako. IPO HIVI: Yeyote kati yenu atakapoenda kutaka kusafishwa nyota kwa mtu yoyote yule basi...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaoifuata Nyota yako ni kina nani?

    WANAOIFUATA NYOTA YAKO NI KINA NANI? Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ni kina Nani hao? Unawajua wanaoifuata Nyota yako? Neno Nyota linaweza kuwa linachechemea katika fikra za watu wasioamini mambo ya Kiroho hasa ndugu zangu kina Kiranga, hata hivyo wao tutatumia istilahi...
  11. Billy Kimber

    Je, uanzishapo mahusiano/umuoe nani kulingana na nyota yako?

    Elimu ya nyota/Unajimu (Astrology) ni elimu kama zilivyo elimu nyingine japo wapo wanaoihusianisha na imani za giza lakini fikra hio nafikiri ni potofu.Unajimu ni uhusiano wa nyota na maisha ya binadamu.Hasa hasa tunaangalia mahusiano ya wakati wa kuzaliwa na sayari zilizopo katika mfumo wa jua...
  12. Rakims

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    IJUE NYOTA YAKO Nyota ni Elimu ya Sayansi ya kiroho ambayo inatumika Dunia nzima. Kila mtu katika Dunia akitaka asitake, aamini au asiamini atakuwa amezaliwa katika moja wapo ya nyota hizi 12 zimechomoza wakati anazaliwa. Pia elewa ya kwamba ndugu yangu nyota yako moja imegawanyika katika...
Back
Top Bottom