Kila mwanadamu ana nyota , ndani yake kuna talanta, na hiyo talanta ndiyo Mungu hutaka mtu aitumie ili asiwe maskini na mhitaji.
Lakini kama ilivyo ada duniani kuna wachawi ambao huchafua nyota za watu au kuibiwa.
Ukiibiwa nyota utateseka mpaka kifo chako.
Hakuna litakalostawi mikononi mwako...