Hoteli kubwa ya angani itakayoendeshwa kwa nguvu ya nyuklia yaja, pamoja na huduma zingine, inatajwa kuwa hotel hiyo itakuwa na gym pamoja na bwawa ya kuogelea, hotel hiyo itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 5,000 kwa wakati mmoja na itaweza kuwa angani kwa muda wa miezi kadhaa na itaweza...
Katika enzi ya kisasa ambapo uhasama wa mataifa makubwa unazidi kushamiri, hatari ya vita vya nyuklia haijawahi kuwa kubwa zaidi. Marekani na Urusi, mataifa mawili yenye silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuangamiza ustaarabu wa binadamu mara kadhaa, hujikuta katika mgogoro mkubwa wa kijeshi...
Leo nimekaa nikawaza kama Dinosaurs waliweza kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia ikikaridiwa namba yao ilikuwa 2.5 billion, miaka milioni 65 iliyopita basi kuna uwezekano mkubwa wa binadamu nao kutoweka kabla Yesu hajarudi.
Dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5 na katika miaka yote...
Kati ya mwaka 1960 hadi 1966, Ufaransa ilifanya majaribio ya mabomu ya Nyuklia nchini Algeria katika maeneo mbalimbali ya jangwa la Sahara. Ufaransa ilifanya majaribio haya kwenye maeneo ambayo "walikodishwa" na Algeria kupitia mikataba iliyosainiwa kati ya Algeria na Ufaransa Ili kusitisha vita...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaa maandalizi yanaendelea kukamilisha malengo makuu
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Usiku mwema inshallah
IAF continues preparations for potential strikes in Iran
IDF sees chance for strikes on Iran nuke sites after knocking out Syria air defenses...
Silaha za nyuklia ni mojawapo ya uvumbuzi wenye nguvu kubwa zaidi uliofanywa na binadamu. Tangu majaribio ya kwanza ya bomu la nyuklia mnamo 1945 huko New Mexico na matumizi yake katika Hiroshima na Nagasaki, nguvu za silaha hizi zimeongezeka sana.
Hata hivyo, maelezo ya nguvu hizi na athari...
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Mtoto ka utaka acha apakatwe atulie.
Jeshi la Urusi limeanza kuitwanga Ukraine kwa makombora tiifu ya RS 26 linaloweza kusafiri bara moja hadi Jingine bila kuzuiliwa lenye kasi march 5 ambayo hakuna air defence yoyote ya NATO iliyopo Ukraine inaweza ku puch...
Habari Wana JF na WATANZANIA kwa ujumla.
It has come to my ATTENTION kwa kauzoefu kadogo nilikonako hapa JF, Nime experience kwamba NYUZI zenye mielekeo ya Imani Fulani (Islam or Christianity) ndio NYUZI zinazochangiwa kwa hisia KALI na CHUKI dhidi ya imani nyingine waziwazi , thanks to JF...
Wadau hamjamboni nyote?
Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel
Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia
Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
Urusi imerudia kutoa onyo kwa Israel isithubutu kushambulia nuclear facilities ya Iran ⚡️BREAKING
Russia warned Israel against striking Iranian nuclear facilities
We have repeatedly warned and will continue to warn Israel against even hypothetically considering the possibility of a strike on...
Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya.
Kuna Tofauti ya MTU anayetumia Mfumo na aliyegundua na kutengeneza Mifumo.
MTU akikuwahi kwenye control ya mifumo yako kubali tu...
Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia. Iran wakanusha mji huo kushambuliwa.
Mytake: Huenda Mazayuni wameshafanya yao 🤔
---
🚨Just In - Initial reports of explosions heard near the cities of Isfahan and Tehran in Iran.
Iranian media has denied any violation...
Wakuu karibuni tuchemshe bongo.
Source ya picha ni BBC
Watu wa imani wanasema binadamu aliumbwa na Mungu na alipewa akili ya kutawala kila kitu yaani viumbe wote.
Sasa hapo juu ndio list ya wanadamu wanaouliwa na viumbe hawa tuliopewa nguvu ya kuwatawala.
SWAL I: Je, Ni kiumbe gani chini ya...
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametishia kutumia silaha za nyuklia kuiangamiza Korea Kusini iwapo itashambuliwa, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti Ijumaa, baada ya Rais wa Korea Kusini kuonya kwamba ikiwa Korea Kaskazini itatumia silaha za nyuklia itakuwa ni “mwisho wa utawala...
Baada ya Mazungumzo Kati ya waziri mkuu, wa Israeli, Netanyahu na raisi wa marekani Biden, kuhusu Israeli kulipiza kisasi cha mashambulizi ya makombora ya Iran , Israeli haijatoa Uhakika wa Kutokushambulia Vinu Vya nyuklia Vya Iran 🤔...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran
Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa
======
Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback
Remains of a ballistic missile...
Umoja wa falme za kiarabu umekamilisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa ni cha mwanzo katika maeneo ya mashariki ya kati.
Kinu hicho kitatoa jumla ya 40 Terrawatts za umeme kwa mwaka ambao utakuwa ni asilimia 25 tu ya matumizi yake kwa mwaka
Baada ya miaka 60-80 kinu hicho itabidi...
Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi.
Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka.
Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu na kwa haraka ili tujitosheleze kwa nishati lakini pia tujiwekeze kiulinzi.
Zama za kutegemea URUSI...
Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Hapa hatuzungumzii mabomu ya nyuklia, tunazungumzia matumizi ya amani ya nyuklia yaani kuzalisha nishati.
Kiteknolojia Marekani iko nyuma ya China kwa miaka 10 hadi 15 katika nishati ya nyuklia kwa sasa.
Kwa nini?
China wamekuja na teknolojia mpya (innovation) ya kwanza duniani iitwayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.