nyuklia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hotel inayoruka angani kwakutumia nguvu ya nyuklia yaja

    Hoteli kubwa ya angani itakayoendeshwa kwa nguvu ya nyuklia yaja, pamoja na huduma zingine, inatajwa kuwa hotel hiyo itakuwa na gym pamoja na bwawa ya kuogelea, hotel hiyo itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 5,000 kwa wakati mmoja na itaweza kuwa angani kwa muda wa miezi kadhaa na itaweza...
  2. Kitakachotokea Dakika za Mwisho Kabla ya Vita vya Nyuklia (Nuclear War): Marekani Chini ya Shambulizi Kuu kutoka Urusi

    Katika enzi ya kisasa ambapo uhasama wa mataifa makubwa unazidi kushamiri, hatari ya vita vya nyuklia haijawahi kuwa kubwa zaidi. Marekani na Urusi, mataifa mawili yenye silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuangamiza ustaarabu wa binadamu mara kadhaa, hujikuta katika mgogoro mkubwa wa kijeshi...
  3. Je, binadamu wapo katika hatari ya kutoweka kwenye uso wa Dunia?

    Leo nimekaa nikawaza kama Dinosaurs waliweza kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia ikikaridiwa namba yao ilikuwa 2.5 billion, miaka milioni 65 iliyopita basi kuna uwezekano mkubwa wa binadamu nao kutoweka kabla Yesu hajarudi. Dunia inakadiriwa kuwa na umri wa miaka bilioni 4.5 na katika miaka yote...
  4. S

    Tbt: Ufaransa ilifanya majaribio ya mabomu ya nyuklia nchini Algeria. Je wajua?

    Kati ya mwaka 1960 hadi 1966, Ufaransa ilifanya majaribio ya mabomu ya Nyuklia nchini Algeria katika maeneo mbalimbali ya jangwa la Sahara. Ufaransa ilifanya majaribio haya kwenye maeneo ambayo "walikodishwa" na Algeria kupitia mikataba iliyosainiwa kati ya Algeria na Ufaransa Ili kusitisha vita...
  5. U

    Jeshi la Israel Iajiandaa kushambulia mitambo ya kuzalisha silaha za nyuklia ya Iran, ni fursa muhimu kufuatia kuangushwa utawala wa Asad wa Syria

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa maandalizi yanaendelea kukamilisha malengo makuu Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Usiku mwema inshallah IAF continues preparations for potential strikes in Iran IDF sees chance for strikes on Iran nuke sites after knocking out Syria air defenses...
  6. Nchi za Marekani na Urusi zina mabomu ya nyuklia ya kutosha kuua viumbe hai vyote kwenye ardhi ya dunia hii

    Silaha za nyuklia ni mojawapo ya uvumbuzi wenye nguvu kubwa zaidi uliofanywa na binadamu. Tangu majaribio ya kwanza ya bomu la nyuklia mnamo 1945 huko New Mexico na matumizi yake katika Hiroshima na Nagasaki, nguvu za silaha hizi zimeongezeka sana. Hata hivyo, maelezo ya nguvu hizi na athari...
  7. Russia yaitwanga Ukraine na RS 26 ICBM lenye uwezo wa kubeba nyuklia

    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Mtoto ka utaka acha apakatwe atulie. Jeshi la Urusi limeanza kuitwanga Ukraine kwa makombora tiifu ya RS 26 linaloweza kusafiri bara moja hadi Jingine bila kuzuiliwa lenye kasi march 5 ambayo hakuna air defence yoyote ya NATO iliyopo Ukraine inaweza ku puch...
  8. Uvumilivu wa Kidini; Bomu zaidi ya "Nyuklia" kwa Watanzania wengi (eeh Mungu tuepushe)

    Habari Wana JF na WATANZANIA kwa ujumla. It has come to my ATTENTION kwa kauzoefu kadogo nilikonako hapa JF, Nime experience kwamba NYUZI zenye mielekeo ya Imani Fulani (Islam or Christianity) ndio NYUZI zinazochangiwa kwa hisia KALI na CHUKI dhidi ya imani nyingine waziwazi , thanks to JF...
  9. U

    Netanyau asema shambulizi la Israel dhidi ya Iran lilisambaratisha viwanda vya kutengeneza kifo! Iran kamwe haitomiliki silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel Waziri Mkuu Benjamin Netanyau Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
  10. Urusi yaionya Israel isithubutu kugusa nyuklia site ya Iran

    Urusi imerudia kutoa onyo kwa Israel isithubutu kushambulia nuclear facilities ya Iran ⚡️BREAKING Russia warned Israel against striking Iranian nuclear facilities We have repeatedly warned and will continue to warn Israel against even hypothetically considering the possibility of a strike on...
  11. G

    Kitendo Cha Israel kufanya Cyber attack kwenye mifumo ya nyuklia na silaha za Iran amewahi control ya silaha anaweza kuwalipua kwa silaha zao

    Kweli vita sio manguvu Ila ni akili alizokujalia Mwenyenzi Mungu unavyozitumia. Kuna tofauti kubwa ya MTU anayegundua Tech mpya na anayesubiri auziwe Tech mpya. Kuna Tofauti ya MTU anayetumia Mfumo na aliyegundua na kutengeneza Mifumo. MTU akikuwahi kwenye control ya mifumo yako kubali tu...
  12. Kumekucha: Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia

    Mlipuko Watokea Iran Kwenye Mji Wa Isfahan Ambako Kuna Kinu Cha Nyuklia. Iran wakanusha mji huo kushambuliwa. Mytake: Huenda Mazayuni wameshafanya yao 🤔 --- 🚨Just In - Initial reports of explosions heard near the cities of Isfahan and Tehran in Iran. Iranian media has denied any violation...
  13. Kama binadamu ametengeneza Bomu la nyuklia kwanini asiwe ndio kiumbe hatari zaidi Duniani

    Wakuu karibuni tuchemshe bongo. Source ya picha ni BBC Watu wa imani wanasema binadamu aliumbwa na Mungu na alipewa akili ya kutawala kila kitu yaani viumbe wote. Sasa hapo juu ndio list ya wanadamu wanaouliwa na viumbe hawa tuliopewa nguvu ya kuwatawala. SWAL I: Je, Ni kiumbe gani chini ya...
  14. H

    Kim Jong Un wa North Korea atangaza kutumia mabomu ya nyuklia kuipiga Korea Kusini iwapo atachokozwa!

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametishia kutumia silaha za nyuklia kuiangamiza Korea Kusini iwapo itashambuliwa, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti Ijumaa, baada ya Rais wa Korea Kusini kuonya kwamba ikiwa Korea Kaskazini itatumia silaha za nyuklia itakuwa ni “mwisho wa utawala...
  15. Israeli haijatoa Uhakika wa Kutokushambulia Vinu Vya nyuklia Vya Iran

    Baada ya Mazungumzo Kati ya waziri mkuu, wa Israeli, Netanyahu na raisi wa marekani Biden, kuhusu Israeli kulipiza kisasi cha mashambulizi ya makombora ya Iran , Israeli haijatoa Uhakika wa Kutokushambulia Vinu Vya nyuklia Vya Iran 🤔...
  16. U

    Rais Biden amsihi sana Netanyau asishambulie vinu vya nyuklia vya iran

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa ====== Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback Remains of a ballistic missile...
  17. Abudhabi imekamilisha kinu cha mwanzo cha nyuklia mashariki ya kati.

    Umoja wa falme za kiarabu umekamilisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa ni cha mwanzo katika maeneo ya mashariki ya kati. Kinu hicho kitatoa jumla ya 40 Terrawatts za umeme kwa mwaka ambao utakuwa ni asilimia 25 tu ya matumizi yake kwa mwaka Baada ya miaka 60-80 kinu hicho itabidi...
  18. Miaka 60 ya JWTZ Tanzania iwekeze kwenye kinu cha nyuklia

    Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi. Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka. Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu na kwa haraka ili tujitosheleze kwa nishati lakini pia tujiwekeze kiulinzi. Zama za kutegemea URUSI...
  19. Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

    Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
  20. X

    ChinaTech: Marekani iko nyuma sana kwa China katika nishati ya nyuklia

    Hapa hatuzungumzii mabomu ya nyuklia, tunazungumzia matumizi ya amani ya nyuklia yaani kuzalisha nishati. Kiteknolojia Marekani iko nyuma ya China kwa miaka 10 hadi 15 katika nishati ya nyuklia kwa sasa. Kwa nini? China wamekuja na teknolojia mpya (innovation) ya kwanza duniani iitwayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…