nyuklia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Urusi kujaribu silaha mpya za nyuklia muda wowote Marekani akifanya hivyo

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amekuwa akilihutubia Bunge la la nchi hiyo. Ametumia mwanzo wa hotuba yake kurudia nadharia ambazo amekuwa akitumia mwaka mzima uliopita: anadai kuwa ni Washington ambayo "ilianzisha vita" na mapema mwaka 2022 iliitaka Ukraine kushambulia Crimea na Sevastopol...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani yaweka wazi, iko tayari kutumia mbinu za kijeshi kuzuia Iran kumiliki nyuklia

    Kwa sasa wanatumia diplomasia, ila kenge akisisitiza na kutokuskliza, basi itabidi kichapo tu.... Taifa lenye mizuka ya kidini na kigaidi gaidi haliwezi kuruhusiwa kumiliki nyuklia.... Washington/Berlin, Jan 30, (dpa/GNA) – The US government has not ruled out military action, to stop Iran from...
  3. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya Makombora ya nyuklia ya Urusi

    The Russian Strategic Missile Forces loaded two Yars intercontinental ballistic missiles (ICBM) into their intended silos this week, the Defense Ministry reported. The Russian military released footage of the loading operations. The nuclear rearmament took place at the Kozelsk missile...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani kuzindua B-21, ndege yenye uwezo wa kushambulia kwa nyuklia tena bila rubani

    Sifa za hii ndege ni za kiajabu ajabu, kitengo cha wana hewa (airforce) kitaagiza 100 kama hizi, zina uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi tena bila rubani na zitashambulia kwa silaha kali ikiwemo manyuklia. ================= The US Air Force will unveil its new B-21 Raider on Friday, a high-tech...
  5. JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi wajiandaa kuachilia 'kiwanda cha nyuklia'

    Samaki katema ndoano. Twende kazi Mkuu wa shirika la nyuklia nchini Ukraine, Petro Kotin amesema kwamba kuna ishara kwamba wanajeshi wa Russia wanajitayarisha kuondoka kutoka kiwanda cha nyuklia cha Zaporizhzhia ambacho wamekuwa wakishikilia tangu mwezi March baada ya kuvamia nchini hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini: Marekani imeweka 'script ya nyuklia' katika 'hatua ya mwisho'

    Pyongyang ilishutumu Washington na Seoul kwa "harakati zao za kijeshi za kizembe" wakati wa duru ya hivi punde ya michezo ya vita. Korea Kaskazini yadai Marekani imeweka 'hati ya nyuklia' katika 'hatua ya mwisho' Korea Kaskazini imezishutumu Marekani na Korea Kusini baada ya washirika hao...
  7. JamiiForums Tanzania Rasmi: Superpower Urusi kuanza Mazoezi ya Silaha za Nyuklia

    Urusi imeitaarifu US kuwa wanatarajia kuanza mazoezi ya Nyuklia ya mwaka. Hili linakuja kipindi hiki ambacho NATO nao wanafanya Nuclear Drills huko ULAYA. Hajaitaarifu nchi yeyote zaidi ya USA . It seems kuwa hawa tu ndo wa wanaheshimiana na kuogopana, wengine wote Mbuzi. Hii vita ni Washington...
  8. JamiiForums Tanzania Korea Kusini nao waanza mazungumzo ya kujihami kwa nyuklia, kama mbwai iwe mbwai

    Ndio fasheni sasa, ukijihami kwa nyuklia unakua na uhuru wa kufanya chochote, Urusi manyuklia yake yamemuwezesha kunyanyasa vitaifa vidogo vilivyomzunguka. Korea Kusini wamechoka vitisho vya Kim wa Korea Kaskazini, kila siku anabwatuka manyuklia...wameanza mazungumzo ya kujihami.... North...
  9. JamiiForums Tanzania NATO waanza maandalizi ya vita vya nyuklia

    Mataifa ya NATO yaanza mafunzo na maandalizi ya jinsi watacheza iwapo vita vya nyuklia vitaibuka..... The 30-nation alliance has stressed that the "routine, recurring training activity", which runs until October 30, was planned before Moscow invaded Ukraine and is not linked to the current...
  10. JamiiForums Tanzania Japan alipigwa kwa nyuklia lakini ni rafiki mkubwa wa Marekani. Ni kwa sababu gani?

    Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri. Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya Hiroshima na Nagasaki. Watu wake wengi kwa mamia walikufa papo hapo na athari za vita hivyo bado...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tabu: Marekani wakijiridhisha Putin anapanga kutumia nyuklia, watamuwahi kabla hajafanya hivyo na watamgeuzia kibao katumia

    Ushindi katika vita ya nyuklia hautamuliwa na ubora wa Jeshi wala silaha nchi husika ilizonazo, bali ni nani atamuwahi mwenzake katika kutumia nyuklia kushinda/ kumaliza vita. Kwa msingi huo, msitegemee Marekani asuburi Russia atumie nyuklia ndio nae ajibu mapigo, bali atamuwahi...
  12. JamiiForums Tanzania Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

    Maombi yanahitajika sana wakuu mambo sio mazuri kwa usalama wa Dunia, inaonekana dhahiri kua putin atatumia nyuklia baada ya kuzidiwa nguvu. --- Joe Biden has warned the world could face “Armageddon” if Vladimir Putin uses a tactical nuclear weapon to try to win the war in Ukraine. The US...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani: Urusi ikitumia Nyuklia tutaingilia kati moja kwa moja

    Mshauri wa Masuala ya Usalama wa Marekani, Jake Sullivan ametoa kauli hiyo baada ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin kunukuliwa akigusia uwezekano wa Nchi yake kutumia silaha hizo katika vita dhidi ya Ukraine. Sullivan hajafafanua ni kwa namna gani watajibu mapigo moja kwa moja lakini amesema...
  14. JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: Putin hadanganyi kuhusu matumizi ya silaha za nyuklia, EU yasema tupo wakati hatari.

    Katika hotuba yake isiyo ya kawaida kwa taifa mapema wiki hii, Bw Putin alisema nchi yake ina "silaha mbalimbali za uharibifu" na "itatumia njia zote zinazopatikana kwetu", na kuongeza: "Sidanganyi."
  15. JamiiForums Tanzania Siri imevuja namna Marekani alivyoionya Urusi kuhusu matumizi ya nyuklia Ukraine

    Kwamba siku akitumia nyuklia ndio atakutana na anachokitafuta. Wazimu mwenye haraka ya kubonyeza vitufe vya nyuklia, hataruhusiwa dunia hii. ====== The U.S. has privately been warning the Kremlin for months of consequences if they use a nuclear weapon in their conflict with Ukraine, according...
  16. JamiiForums Tanzania Balozi wa Ukraine UK: Putin ni muoga na ameshindwa vita ndo maana anatoa Vitisho vya Nyuklia

    Mengine kasema Wako tayari kuendelea na vita kama watapewa silaha Kasema misaada wanaitumia vizuri Kasema Putin anatishia tu na hawezi kufanya Kasema missiles nyingi za Urusi zinatunguliwa nyingine hushuka ambapo hamna athari yoyote Kasema viongozi aina ya Putin ni watu waliolewa madaraka na...
  17. JamiiForums Tanzania Iran inakosa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi wanaiogopa Israel

    Iran inaelekea kuishiwa kabisa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi katika vyuo wanaogopa kusoma nuclear science. Hii imechangiwa na operesheni za Israel ambapo wataalamu wa mambo hayo wamekuwa wakiuawa.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Tutaweka mchanganyiko wa Umeme wa Maji, Gesi, Upepo, Jadidifu na hata Nyuklia kwenye Gridi ya Taifa

    Waziri wa Nishati January Makamba amesema wanakusudia kuweka mchanganyiko wa uhakika wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa. Makamba amevitaja vyanzo mbalimbali vitakavyozalisha umeme huo kuwa ni Maji, Gesi, Jadidifu, Upepo na Just. Waziri Makamba amesema hata chanzo cha Nyuklia kinaweza kutumika kama...
  19. JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Wakaguzi wawasili kwenye kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia

    Wakaguzi wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki wamefika katika kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia kusini mashariki mwa Ukraine, shirika la habari la Reuters linaripoti. Mwandishi wa habari kutoka shirika la habari aliwaona maafisa Umoja wa Mataifa wakiwasili kwenye mtambo huo wakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania 19 Agosti 2022 SHARED Jeshi la Urusi lajiandaa kukata mtambo wa nyuklia kutoka kwa gridi ya taifa - Ukraine inasema

    Kama tumekuwa tukiripoti, kampuni ya nishati ya nyuklia ya Ukraine Enerhoatom imesema kwamba wanajeshi wa Urusi wanaodhibiti kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhya huenda wanapanga kukitenganisha na njia zinazoingiza nishati katika mfumo wa nishati wa Ukraine katika siku za usoni. Enerhoatom...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…