Muda huu kungekuwa na msiba mzito kwenye baraza la mawaziri kama nyuma mwiko angefungwa,
Naona wanajeshi bado wana mishahara yao wamegomea bahasha na kocha wala hana shobo na nyuma mwiko.....aibu kwa refa aliyepokea bahasha amejitahidi kuongeza dk zake lakini la kuvunda halina ubani refa apewe...
Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
Naskia jamaa wa nyuma mwiko wanahamisha makao , haya ndo madhara ya kuwa na fikra za kishirikina , Kila muda unahisi unarogwa tu na kufitiniwa.
Tabia za nyuma mwiko ni kama nyuki, Kila siku wanahama tu.
Viwanja vyote vilivyopo Tanzania hii mpaka muhamie KMC!?. Kama sio choko choko ni nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.