Tanzania ya leo kila maskini anavojaribu kupambana anarudishwa nyuma kwa ngumi na mateke. Leo hii vigezo vya kupata mkopo havieleweki, mtoto amesoma kayumba, kaenda sekondari ya kata, kaenda A level ya kata iliyopandishwa daraja. Kafaulu kwenda chuo, ananyimwa mkopo eti kwa sababu wazazi wake...