Nyumba inauzwa Goba Tegeta "A"
Eneo lina SQM 450
Nyumba ipo sehemu nzuri sana(majirani✅
Nyumba ina fence ya umeme
Nyumba ina paving
Nyumba ina umeme na maji
Nyumba ina vyumba vitatu viwili vina choo
Choo cha public
Jiko limekamilika full makabati
Sebule kubwa
Dinning kubwa
Baraza mbili mbele na...