Eneo lenye nyumba iliyofikia umaliziaji inauzwa Goba, Dar.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Eneo:
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli.
*Ina Vyumba vitatu vya kulala, chumba...
Nyumba Goba niwe nne Njia panda ya Tegeta A. Ukubwa wa eneo 550 square meter
vyumba vinne, viwili master, sebule na jiko
Tank la Maji na kisima cha Maji ya akiba, Mita 400 toka barabara ya Lami
Bei 230M mazungumzo yapo
Hatimiliki ipo
Mawasiliano 0737148766
Karibuni
Nyumba inauzwa Goba Tegeta "A"
Eneo lina SQM 450
Nyumba ipo sehemu nzuri sana(majirani✅
Nyumba ina fence ya umeme
Nyumba ina paving
Nyumba ina umeme na maji
Nyumba ina vyumba vitatu viwili vina choo
Choo cha public
Jiko limekamilika full makabati
Sebule kubwa
Dinning kubwa
Baraza mbili mbele na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.