nyumba mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Ukiwa unaenda kuhamia nyumba mpya nini huwa unachunguza na kuzingatia?

    Wakuu, Tupeane maujuzi hapa ya mambo ya kufanya na kutokufanya Ukiahamia chumba kipya au nyumba mpya uzingatie nini? Sasa msije mkasema "Uingie na boksa kinyume nyume"🤣🤣🤣🤣maana nimewahi kusikia kuna watu nishasikia lazima waweke kwanza vitu vyao kuua chochote kilichoachwa na aliyetoka sehemu...
  2. Bemendazole

    Tabia ya kutembeza wageni kwenye nyumba mpya!

    Nimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya. Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa, miswaki imeondolewa bafuni na kufungiwa kwenye kabati kisa tu wageni wazungushwe vyumbani. Kimsingi...
Back
Top Bottom