Nimekuja hapa mkoani kikazi. Sasa nimefikia kwa rafiki yangu ambaye ana wiki tangu ahamie kwenye nyumba mpya.
Sasa nilienda matembezini narudi nakuta chumba kimesafishwa, kitanda kimetandikwa, miswaki imeondolewa bafuni na kufungiwa kwenye kabati kisa tu wageni wazungushwe vyumbani.
Kimsingi...