nyumba ya ghorofa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Msaada kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa kumi kwenye eneo la sqm 500 hapa temeke

    Ni kiasi gani niwe nacho kuweza kujenga ghorofa kumi structure tu bila finishing? Kwa wataalamu natanguliza shukran nyingi sana Eneo temeke wailes Ukubwa 500 sqm Tambarare
  2. Bosspraise

    Plot4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  3. M

    Ujenzi wa ghorofa 1 hatua kwa hatua na makisio ya vifaa

    Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule. Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo...
Back
Top Bottom