nyumba ya kuishi si uwekezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makirita Amani

    Tahadhari! Nyumba ya kuishi siyo Uwekezaji

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye safari ya kujenga utajiri, uwekezaji ni kiungo muhimu sana. Watu wengi wamekuwa wanachanganya kipato kikubwa (rich) na utajiri (wealth). Wengi huwa na maisha mazuri pale wanapokuwa na kipato kikubwa, kinachokuwa kinatokana na kazi au biashara wanazofanya. Lakini...
Back
Top Bottom