nyumba ya kulala wageni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    PDPC: Ukifika nyumba ya Kulala Wageni, marufuku kuandika unapotoka na unapokwenda

    TUME ya Ulinzi wa Taarifa (PDPC), imesema kuwa unapokwenda nyumba ya kulala wageni hairuhusiwi kuandika ulikotoka na unakokwenda kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya taarifa binafsi. Akiwasilisha mada ya zana ya taarifa binafsi, Mkurugenzi wa usajili na Uzingatiaji wa PDPC, Stephen...
  2. MLIMAWANYOKA

    Msaada: Wilaya ya Mkalama-Singida ikoje? Nafikaje kutokea Dodoma

    Habari wakuu, Nimepata safari ya kiutafiti Maeneo ya wilaya ya Mkalama, sina idea yoyote kuhusu eneo hilo, sina mwenyeji kule na sijawahi fika kabisa. Naomba kujuzwa yafuatayo; 1. Nasafiri kwa magari gani nikitokea Dodoma. 2. Kuna nyumba za kulala wageni? avarage price? 3. Maeneo standard ya...
  3. Nyarupala

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo tunaomba vigezo vya mtu anaetakiwa kukutwa kwenye chumba cha guest au lodge

    Hii ni zaidi ya kuminya mapato ya wilaya kama hajajua, hivi inaingia vipi akilini unaenda kumkamata mtu chumbani kwenye gest au lodge iliyosajiliwa na mmiliki analipa kodi serikalini monthly na ana leseni? Binafsi naomba mkuu wetu wa Wilaya tupatie utaratibu au vigezo ambavyo vinatakiwa kwa mtu...
Back
Top Bottom