Kwema Wakuu,
Za weekend?
Nipo nachanganua hapa. Mfano nikiwa na labda 20,000,000/- nikazitia UTT Kwa riba ya 12% naweza kupata roughly 2,400,000 faida baada ya mwaka mmoja.
Alternatively hizi 20,000,000/- kama kiwanja ninacho nikijenga hata Chumba, sebule na choo Kwa eneo nililoko sikosi hata...
Wakuu mikoa inatofautiana kwa vipato vya wakazi wake. Sina shaka kuhusu Dar linapokuja suala la mzunguko wa hela.
Tupeane abc za mikoa yenye vipato vilivyosimama (ukiondoa Dar) na kuna hela nzuri ya pango kwa hizi nyumba za kawaida za kupangisha (ambazo sio lodge).
Kujenga nyumba ya kupangisha kulingana na mahitaji ya soko la mtaa husika ni mbinu bora inayoweza kuleta mafanikio makubwa katika uwekezaji wa mali isiyohamishika.
Hapa chini kuna sababu 20 za kwa nini unapaswa kuzingatia mahitaji ya soko la mtaa husika wakati wa kujenga nyumba za kupangisha...
Marafiki hao 15 walipanga nyumba huyo kwa ajili mapumziko British Colombia, ndipo usiku mmoja wa mapumziko wao waligundua kulikuwa na camera zilizokuwa zimefichwa kwenye soketi ya umeme zikiwa zimeelekezwa bafuni.
Mmoja wa marafiki hao aliona video kutoka mtandao wa Tiktok ikiongelea kuhusu...
Habari .
Vitu vya kuzingatia,
-privacy
-comfotability
-Flexibility
-Security
-saving of space n.k
Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia
Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
Ili niweze kujenga utajiri kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo ninatakiwa kujihusisha na;-
✓ Umiliki wa ardhi na majengo.
✓ Au Utoaji wa huduma za uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Njia ya kutengeneza kipato cha haraka na kipato endelevu nikiwa umelala ni kumiliki ardhi za kukodisha au...
Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba.
Kwa kutumia mbinu yoyote ya uwekezaji huu na kwa wakati wowote unatakiwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba...
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Temeke, Mbagala, Tuangoma nk.. Iwe na vyumba 3 au zaidi iwe nzima au upande wa kujitegemea, iwe na maji na umeme na karibu na barabara na huduma za kijamii. Iwe nzuri na ya kisasa. Napenda iwe japo na master bedroom. Naweza kufikiria maeneo mengine pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.