Nyumba ya mbao kuna vitu havitakuwepo. Gharama ya kubeba tofali ulikozinunulia au kama umefyatulia nyumbani hakutakuwepo na wasaidizi wengi wa fundi unaweza kuwa mwenyewe msaidizi.
Kokoto na mchanga hazitakuwepo labda tu kama utaweka msingi wa chini, nondo hazitakuwepo matumizi ya maji mambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.