Habari za muda huu,
Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika.
Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na...
Mwanamke Usiruhusu Mwanaume Kuhamia Nyumbani Kwako...
Ukiamua kuolewa usimruhusu ahamie kwako, hata kama unamiliki jumba la kifahari katika soko la juu halafu huyo jamaa anaishi katika nyumba ndogo ya kupanga, ni heri ujishushe daraja na utoke kwa jumba lako la kifahari na uhamie katika kijumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.