Mwanamke Usiruhusu Mwanaume Kuhamia Nyumbani Kwako...
Ukiamua kuolewa usimruhusu ahamie kwako, hata kama unamiliki jumba la kifahari katika soko la juu halafu huyo jamaa anaishi katika nyumba ndogo ya kupanga, ni heri ujishushe daraja na utoke kwa jumba lako la kifahari na uhamie katika kijumba...