nyumba ya wageni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    Changamoto za biashara ya nyumba ya wageni

    Hii biashara ina faida sana, ukiwa na vyumba 10 kwa 20,000 chumba kimoja na vyote vikapata wateja, una uhakika wa 200,000 kwa siku. Nyumba hizi hustiri wengi wenye uwezo wa kati na wa chini. Wale wasio kudumu hoteli kuanzia 100,000 kwa siku. Changamoto moja kubwa ni ustaarabu, watu wengi...
  2. the numb 1

    Kwanini Wanawake hulazimisha kulala na wapenzi wao hoteli za kifahari?

    Hivi inakuaje unaekeana appointment na mwanamke wewe upo kazini anakuambia ameshatangulia sehemu husika halafu hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show. Manzi anakupa location unachukua usafiri wako unaibuka mara ghafla mtu kashatangulia reception kubook chumba alaf ni hotelini...
  3. Kasomi

    Geita: Akutwa amejinyonga ndani ya nyumba ya wageni inayomilikiwa na mumewe

    KATIKA hali isitokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilayani Geita amekutwa amejinyonga kwa kutumia kamba ya manila ndani ya choo cha nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Mwananzoka inayomilikiwa na mumewe Siki...
  4. Sky Eclat

    Changamoto katika biashara ya nyumba ya wageni (Guest House)

    Nyumba ya wageni ikiwa kwenye location nzuri, penye shughuli za kibiashara, ni biashara iitakayo kuingizia pesa ya kula hata na ya ada ya watoto. Sikuhizi watu wanapenda vyumba ensuite, hivyo uwe na uhakika wa kupata maji. Maji yakikosekana fanya jitihada ya kujaza matank ya akiba. Kuna...
Back
Top Bottom