Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameruhusu askari polisi kuanza kutumia nyumba za kisasa zenye uwezo wa kubeba familia zaidi ya 300 zilizopo eneo la Kunduchi na Mikocheni mkoani Dar es Salaam.
Pongezi kwa Wizara na Serikali.