Habari wana JamiiForums!
Nimekuwa msomaji wa muda mrefu humu, lakini leo nimeona ni bora nishiriki moja ya matukio ya kutisha zaidi kuwahi kunikuta maishani mwangu. Najua kuna watu wengi hawataamini, wengine watafikiria ni hadithi za kutunga, lakini nawaambia kwa uhakika—nilipitia jinamizi la...
Mwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni.
Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali wengi Nchini. Nilikuwa na akiba ya shilingi 35M wakati naanza, ambapo nilianza Kwa kununua Kiwanja...
Habari .
Vitu vya kuzingatia,
-privacy
-comfotability
-Flexibility
-Security
-saving of space n.k
Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia
Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo
Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;-
✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
Kununua nyumba ya uwekezaji linaweza kuwa jambo rahisi sana wakati ambapo una mtaji fedha wa kutosha kununua nyumba unayotaka. Lakini kuuza nyumba ambayo huitaki inachukua miezi mingi mpaka miaka kadhaa.
Kwa kutumia kanuni hii ya uwiano ninakuonyesha jinsi unavyoweza kununua nyumba ya uwekezaji...
Biashara ya utoaji wa huduma za mikopo kwa ajili ya ukarabati na maboresho ya nyumba ni moja ya njia za kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu.
Hii sio njia ya moja kwa moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo. Njia hii inahitaji uwe na maarifa sahihi na taarifa sahihi za uwekezaji kwenye ardhi...
Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga...
Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba.
Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha.
Hatua hizi zinaweza kufanywa na mmiliki wa mali, au kampuni maalumu...
Tunatafuta usalama na uhuru.
Usalama na uhuru ndiyo huendesha maisha ya watu wote duniani. Kwenye ukurasa huu nina kuonyesha makundi makuu mawili (2).
Kundi la kwanza ni lile linalotafuta usalama wa maisha yao ya kifedha. Kundi la pili ni lile ambalo wanatafuta uhuru wao wa maisha yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.