nyumbu

Mwene Chitengi Chiyengele was a Mbunda king who led his people from south-eastern Angola to Barotseland in western Zambia around 1824. The Mbunda were skilled game hunters and fighters using bow and arrow. They were welcomed by King Mulambwa of the Aluyi of Barotseland, now Western Zambia.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Wale nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko wale mabwana waliokutana Idodomia na kufanya maamuzi kama watu waliokatwa vichwa

    Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni. Yaani nyumbu pamoja na ujinga wao wote, wakitaka kuvuka mto mara kwenda upande wa pili, walau hujaribu kutafakari kidogo juu...
  2. Wajumbe hawatakubali CHADEMA iwe CCM B kwa kumchagua Mbowe. CCM wanamuunga Mkono Mbowe hadharani alafu Wajumbe nao wamchague Mbowe labda wawe Nyumbu

    Kwema Wakuu! Kadiri siku ziendavyo mioyo ya watu waliobakia kwa Mbowe inazidi Kufa na wanaamua kujisalimisha kwa kuamua kumpumzisha Mwenyekiti ili kukinusuru chama. Kila siku lazima atoke mwanachama wa CHADEMA aliyekuwa na wadhifa kumuunga Mkono Lisu. Jambo hilo linazidi kuwakatisha tamaa Team...
  3. Waafrika weusi sisi tunakwama wapi?

    Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine. Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua sisi kuzaliwa kama nyumbu kuwa wajinga kupitiliza ili races zingine zinufahike na ujinga wetu...
  4. M

    Afrika bara la nyumbu Ulaya bara la siafu, Tanzania ni nchi ya bora liende

    Habari zenu Wana jukwaa, imani yangu sote tuko wazima wa afya njema na kwa wale walio na changamoto ya afya mungu awasaidie waweze kupona na kuendelea na majukumu ya kila siku. Watanzania hivi mnaamini kwamba maendeleo yanapatika Kwa urais kama mnavyodhani? Mnaamini kwamba ili uweze kuwa...
  5. Ussi Salum Pondeza - Tukiimarisha Suma JKT na Kiwanda cha Nyumbu wataweza kutengeneza ajira rasmi na zisizo rasmi

    MBUNGE USSI PONDEZA - TUKIIMARISHA SUMA JKT & KIWANDA CHA NYUMBU WATAWEZA KUTENGENEZA AJIRA Mbunge wa Jimbo la Chumbuni, Mhe. Ussi Salum Pondeza akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa iliyosomwa na Waziri Mhe. Innocent Bashungwa bungeni jijini Dodoma amesema...
  6. Waziri Bashungwa akabidhi magari matatu ya Zimamoto yaliyotengenezwa Tanzania, asema "Inawezekana majirani waje kununua magari Tanzania"

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amekabidhi magari matatu ya Zimamoto (Mitambo) kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambayo yenye uwezo wa kubeba maji lita 5,000 na Foam Lita 500 kwa kila gari. Waziri Bashungwa amekabidhi magari hayo kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani...
  7. J

    Nyumbu 20 waangushwa kuwanasa Wahadzabe kuhesabiwa

    Na John Walter-Manyara Serikali ya Tanzania imetoa wanyamapori 20 aina ya Nyumbu kwa jamii ya Wahadzabe ikiwa ni sehemu ya takwa lao ili wawe tayari kushiriki zoezi la Sensa linaloanza usiku wa kuamkia Agosti 23 hadi Agosti 31 mwaka huu. Sensa ya mwaka huu inafanyika kwa mara ya sita ambapo...
  8. Idadi ya Wamasai inaongezeka. Je, idadi ya nyumbu na wanyama wengine haiongezeki? Kwanini Wamasai wasiongezeke, wao sio binadamu?

    Eneo la hifadhi ya Ngorongoro ni zao la mkataba kati ya Serikali ya kikoloni ya Uingereza na viongozi wa kimila wa jamii ya kimasai na makubaliano yalikuwa ni kwamba, wananchi wenyeji wa Ngorongoro waondoke eneo la Serengeti na wasirudi tena waende Ngorongoro Mkataba wa Serikali ya kikoloni ya...
  9. Kuchelewa kwa mvua maeneo ya Ndutu kumefanya Nyumbu kuendelea kuwepo eneo la Seronera

    Kuchelewa kwa mvua maeneo ya Ndutu kumewafanya Nyumbu kuendelea kuwepo eneo la Seronera, Serengeti ambapo mwezi ujao wa Februari na Machi wataanza msimu wa kuzaa 'Calving Season'. Wachache wao wameshaanza kuzaa kwa sasa wakiwa Seronera.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…