Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeamua kuwa washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya ubakaji wa kundi na ulawiti dhidi ya Binti kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam, wana kesi ya kujibu. Uamuzi huo ulitolewa Jumatatu, Septemba 23, 2024, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Zabibu Mpangule...