Wana JF napenda kutoa ushuhuda, nimekua nikitumia dawa za nguvu za kiume kwa mwaka mmoja, saivi nina moezi miwili toka niache.
Madhara niloyopata nahisi moyo kuuma, kichwa kinaumaa kila siku, macho yanauma kila siku na nguvu nilizokuwa nazo mwanzo naona zimepungua kabisa yani uume unasimama...