Wakuu habari za majukumu nina ombwa kujuzwa kama kuna mafuta au dawa yoyote inayoweza kujaza nywele kichwani.
Mimi ni kajana wa miaka 24+ ila naona kuanzia mwezi uliopita kama nywele za mbele zimeanza kuwa chache sasa sijui shida nini yani nikiangalia nywele za kuanzia robo tatu ya kichwa...