Wakuu,
Hili jambo limekuwa likinishangaza sana, mwanamke anaetengeza nywele zake natura anaambiwa mbona hujasuka, ingekuwa rasta ndio ingekuwa sawa na ungependeza, ingekuwa wigi ndio ungekuwa smart. Siku mwenye natura akisuka rasta anaambiwa sasa leo umesuka? Kwanini iko hivi?
Lakini pia...