nzengeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Azim Dewji awajibu wanaomponda Chasambi, adai "mimi mbona nampenda Maxi, je mi ni Yanga?

    Mfadhili wa zamani wa Simba SC, Azim Dewji amesema haoni maana yoyote ya kosa la Ladack Chasambi katika mechi ya Fountain Gate lizue mjadala kwa sababu alishawahi kumtaja mchezaji wa Yanga Maxi Nzengeli kama mchezaji kioo chake. Dewji amesema yeye pia anampenda Maxi Nzengeli na ndiye mchezaji...
  2. GENTAMYCINE

    Ya Okra na Baleke bado huku Mkopo wa Zengeli ukifika Ukingoni leo tena mmemtambulisha haraka haraka huyu Mkongomani Shauri yenu

    DAR ES SALAAM: YANGA imetambulisha usajili wa kiungo wa pembeni 𝐉𝐨𝐧𝐚𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐈𝐤𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐨𝐦𝐛𝐨 kutoka timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Chanzo: habarileo_tz Na nasikia Wakala wa Zengeli ameshawakazieni na huenda Wiki ijayo Zengeli akarejeshwa Kwao DR Congo alikotokea.
Back
Top Bottom