ocd

  1. Cute Wife

    Pre GE2025 INEC watoa elimu kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) ili kuliweka tayari Jeshi la Polisi wakati wa mchakato wa Uchaguzi

    Wakuu, Mambo yanazidi kuiva.. ==== Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) katika kuhakikisha inatoa Elimu ya Mpiga Kura kwa makundi mbalimbali katika jamii, Novemba, 2024 imetoa elimu hiyo kwa Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) nchini katika mafunzo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi...
  2. Mkalukungone mwamba

    Morogoro: Mtendaji wa Kijiji akiwasha, ataka kuzuia mkutano wa ACT Wazalendo kwa madai hakuwa na barua kutoka OCD

    Tukio hili limetokea wakati Mtendaji wa Kijiji cha Tuninguo, kata ya Mvuha, alipozuia Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, asiwakaribishe wananchi katika ziara yake. Mtendaji alijitetea kwa kusema kwamba hakuwa na barua kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), akizuia pia...
  3. Kiranja Mkuu

    DOKEZO Magari ya Maji taka yamwaga maji kwenye Makazi ya Polisi Oysterbay

    Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari. Simu yangu ina tatizo la camera, lakini nathibitisha kesho nitapata picha nzuri zaidi. Dereva wa Gari la majitaka anatamba...
  4. Mjuba og

    OCD wa Dodoma na OCCID wafunga Kanisa la AGGCI Kizota Dodoma

    Katika Hali isiyokuwa ya kawaida, Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Dodoma Mjini na Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya Jumapili tarehe 1 September 2024 walimbatana na wananchi waliovamia Kanisa la AGGCI Kizota kinyume cha Sheria wakati Ibada ikiendelea na kufunga Kanisa Hilo ambalo kwa sasa lipo chini ya...
  5. Mjukuu wa kigogo

    OCD Bunda fuatilia utendaji kazi wa baadhi ya mgambo wanaokusaidia kazi wengi wanashirikiana na vibaka

    Naandika andiko hili kwa uchungu sana!Kwanza ni jambo zuri sana Kwa jeshi la polisi kushirikiana na jeshi la akiba maarufu kama Mgambo katika kulinda usalama wa raia na mali zao.Ni jambo la kupongezwa na Kila mtu anayelitakia mema Taifa lake! Mkuu pasipo kuficha kitu hawa Mgambo wanaosaidiana...
  6. Mtemi mpambalioto

    Pre GE2025 Wakuu wa vituo Polisi, OCD, RPC ndio wanaoongoza kunyima haki za watu pindi linapokuja suala la uchunguzi

    Sijui ni uwezo mdogo kielimu ndiko kunapelekea polisi kunyima haki pindi watu wanapopeleka malalamiko! au ni serikali kupitia CCM ndio mnawafumbia macho hawa polisi? kuna kesi nyingi sana za watu kupotea, kudhulumiwa, ma kuonewa ila.ikifika polisi wanaangalia mwenye hela na uwezo kiofisi! Mtu...
  7. O

    Kesi ya polisi wanaodaiwa kumuua muuza madini: Shahidi adai washtakiwa walitumia gari la OCD

    Gari la Polisi lililodaiwa kutumiwa na washtakiwa wa kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis kwenda katika kituo cha Polisi Mitengo Mtwara na kisha kuondoka na mtu aliyebebwa kwenye machela limetajwa kuwa lilikuwa ni la Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) ya Mtwara. Hayo yamebainishwa...
  8. Forgotten

    OCD inanitesa, sijui nifanyeje!

    Habari wana-JF. Obsessive compulsive disorder ni ugonjwa unaonisumbua kwa miaka mingi. Kama ilivyo kwa wengi ni ngumu kujijua kuwa wana matatizo ya akili. Niliishi miaka mingi nikijiona wa tofauti ila niliamini ni jinsi nilivyo tu bila kujua nina tatizo linalowakumba watu wengi tu Duniani...
Back
Top Bottom