Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Mei 28, 2018 kutoa uamuzi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo na mwenzake wana kesi ya kujibu au la.
Uamuzi huo wa Mahakama umetolewa leo Mei 22, 2018 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Godfrey Mwambapa baada ya...