Mkurugenzi wa Shirika la Bridge for Change, Ocheki Msuva ambaye ni mtaalamu wa siasa na utawala anayejihusisha na masuala ya vijana katika eneo la ushiriki na ushirikishwaji amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa umeisha, hivyo ni muhimu kujikita katika mazungumzo na majadiliano yenye kujenga...