Jana usiku kulikuwa na mdahalo kwa wagombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa ili kunadi sera zao na wapiga kura kuwapima kama wanatosha kushika nafasi hiyo. Katika mdahalo huo mgombea muhimu sana allingia mitini kwa sababu anazozifahamu yeye.
Nipende kumpongeza Ndugu Odero kwa ujasiri aliokuwa...