Raial Odinga amkeuwa kiongozi wa chama chake miaka na miaka na hadi juzi kamkabidhi Gava wa Kisumu ili aongoze ODM kwa sababu yeye anagomvania cgeo kule AU, kumbuka cheo cha Raial hakigombaniwi hakipigiwi kura. Sasa sipati picha ingekuwa ndio Tanzania.
Sasa basi Raial mbali ya kuwa kwenye...
Raila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona
ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025.
Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya
Kiongozi wa ODM au atabaki kama mshauri na mzee wa chama ?
Salamu kwenu watu wa Sayansi ya Siasa.
Baada ya Viongozi wanne wa ODM kuingia kwenye cabinet ya Kenya Kwanza maana yake ODM siyo Chama cha Upinzani tena hivyo kimeondolewa kwenye Umoja wa Azimio
Source: Citizen TV
Mlale Unono 😀
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.