offer

  1. INAUZWA Offer ya Ramani Tsh. 80,000

    Vyumba vinne, Master bedroom, sitting room, dining room, jiko na stoo Bei 80,000/= Offer ya siku chache karibuni Mawasiliano: 0766043459 Karibuni
  2. M

    INAUZWA Baiskeli bei nafuu sana

    p
  3. Nauza Toyota Cami wadau gari iko vizuri changamoto gia Box na inapaki muda mwingi kwakuwa Nipo nje ya mkoa njoo na offer yako au nicheki pm

    nauza Toyota cami iko vizuri sana ila changamoto gia Box gari ipo sawa sana kwakuwa kabla tatizo gari aina safari sana mara nyingi inapaki mimi naishi mkoani gari ipo dsm kama upo interested nicheki pm nipe offer yako ukamiliki gari
  4. Samsung s6 ya kubadili kioo- nipe offer yako

    Nauza samsung s6 - kioo cha kubadilisha. Piga 0712 668190 unipe offer yako Mbezi kimara-Dar
  5. Laptop zimewasili na Offer ya bure ya Software ya Research

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa tumeleta computer zifuatazo: 1. Lenovo ya kuzungusha screen. Sifa: Hard disk 160GB, ram 4...
  6. C

    Benki gani ipo faster kutuma TT Japan?

    Wakuu Ni benki gani nchini ambayo naweza kutuma TT Japan ili ninunue gari huko? SI mnajua Tena Mambo ya OFFER unapewa muda maalumu uwe umeshalipia.
  7. Hivi Tanzania kuna Benki ina offer Credit Cards badala ya Debit Cards zilizozoeleka?

    Nina shida na credit card kuna mtu yeyote anayejua ni benki gani wanatoa credit cards badala ya debit cards?
  8. Nakaribisha offer za exchange deal. Nissan xtrail

    Kwa yeyeto mwenye mapenzi na xtrail na yuko tayar kufanya xchange deal, nakaribisha ofa
  9. INAUZWA Kamera aina ya canon 600d kwa laki 4 na nusu offer

    Haina tatizo Ina betri lake Lenz 18_55mm Mawasiliano. 0757 936 699 Dar es salam, Kinondoni .
  10. Job Offer

    Job Description We are looking for a competitive and trustworthy sales officer for CarHunt Japan branch office in Tanzania market to sell used cars, trucks, machinery and auto parts. Also, the sales officer will advertise our company products and build awareness for CarHunt Japan. Job...
  11. Ofa ya Ujenzi

    UTANGULIZI Practical Idealist ni Account maalumu ya mitandao ya kijamii iliyoanzishwa na watu wenye taaluma na uzoefu mbalimbali katika tasnia ya ujenzi mnamo mwezi May, 2020 katika Jiji la Dar es Salaam huku lengo lake kuu ni kutoa msaada wa Ushauri(Consultation) bure kabisa kwa Watanzania wote...
  12. Jihadharini na offer mpya inayotolewa na mtandao wa Tigo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Kuna ofa inatangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu au usipate chochote. Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo...
  13. Corona: Tanzania yaingilia kati, madaktari wake wajitolea kwenda China kuidhibiti

    Rafiki wa kweli ni wakati wa shida . ===== SERIKALI ya China imeshukuru utayari wa Serikali ya Tanzania wa kutaka kuwapeleka madaktari nchini humo, kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid -19). Aidha, imewatoa hofu Watanzania kuhusu changamoto za...
  14. Pata lebo, logo ya bidhaa zako kwa gharama nafuu na upate lunch kutoka restaurant ya Neyscassava BURE!

    OFFER kabambe kutoka D-TECS Group! Chagua huduma unayohitaji kati ya zifuatazo tukufanyie kazi nzuri na TUKUPE ZAWADI kutoka restaurant ya kisasa ya mihogo inayobamba hapa town ya NEYSCASSAVA! Huduma zinazoambatana na OFFER hii; Label designing/ Lebo ya bidhaa zako Logo designing/ Nembo ya...
  15. OFFER! Pata business card na lebo za bidhaa zako kwa gharama nafuu sana

    tunatoa offer (ofa) kwa wanaohitaji business cards, logo na lebo za bidhaa zao kwa gharama zifuatazo; Company logo designing = Tsh.30,000/= Business card designing = Tsh.25,000/= Product label designing = Tsh.25,000/= Business card printing = Tsh.20,000 /100pcs Label printing = Tsh.1000 /A4...
  16. Offer ya haraka, photocopy machine ya 1,000,000 inauzwa 700,000 ni mpya

    ofisini machinga Complex Wasiliana na 0747 668 944
  17. Job Offer: Sales Executive at CarHunt Japan, Tanzania Office

    Job Description We are looking for experienced, competitive and trustworthy sales executives for the CarHunt Japan branch office in the Tanzania market to build up business activities. The line of business is selling used cars, trucks, and Machinery to customers in Tanzania. Job position...
  18. Tunauza vifaranga aina ya kuroiler

    Kroiler ni aina ya Kuku chotara alie tokea India ambae ni mchanganyiko Wa Kuku aina ya Sasso(jogoo) mwenye sifa yakuwa na umbo kubwa na mwenye uzito sana,alie pandishwa kwa Kuku aina ya Rhode island(tetea) mwenye sifa ya utagaji sana Wa mayai, Hivyo Kuroiler ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…