Affluence Training Ltd inatangaza nafasi 1 ya kazi ya Office Messenger- Dar Es Salaam kwa mkataba wa muda maalum. SIFA: Awe kijana wa Kiume, anayefahamu baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Es Salaam, Awe anajua Kusoma na Kuandika tu, awe ana uwezo wa kujieleza kwa ufasaha, awe tayari kufanya kazi za...