Hii ikufikie Boss wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (PCCB) wilaya ya Bunda mkoani Mara. Wiki hii Kuna kijana mmoja ambaye kaanzisha operation ya kupita kwa baadhi ya maduka ya wafanyabiashara na kuwaulizia kama tayari washalipa leseni za biashara au la. Inajulikana wazi...